Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,544
- 5,670
Ok laba yuko vizuriTulifanya pamoja nao hao alafu kuna mmoja apo alishapataga placement ila ana bahati kubwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ok laba yuko vizuriTulifanya pamoja nao hao alafu kuna mmoja apo alishapataga placement ila ana bahati kubwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Yah ni kweli yupo vizuri
Duuu, bonge la fursa hili...watu tujipange kisawasawaJana waziri wa fedha kawashiwa moto uko bungeni TRA ina upunguf wa staff 2000
Labda wanahitajika kwa haraka sanaaEty watu wamefanya Usaili mwaka huu tar 4 January halafu washapata placements zao.. wewe wa Nov last year unaendelea kusugua bench
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hapo 1500 tayari washa ajiliwa kwa hy bado 500 tu hapo ndo hii watu wanasubiri pdfDuuu, bonge la fursa hili...watu tujipange kisawasawa
walioingia oral TRA nadhani ni zaidi ya watu 500Mkuu hapo 1500 tayari washa ajiliwa kwa hy bado 500 tu hapo ndo hii watu wanasubiri pdf
Yeah c kuna mchujo ili wapatikane hao 500 maana sio wote wanaofika oral na kuchukuliwawalioingia oral TRA nadhani ni zaidi ya watu 500
Kwa hiyo mkuu kuna kibali kingine cha kuajiri 2000 ukiachana na hao 1500 walioajiriwa na 500 walio kuwa ktk hatua za mwishoJana waziri wa fedha kawashiwa moto uko bungeni TRA ina upunguf wa staff 2000
AKAJIBU
Tayar watumishi 1500 wameshaajiriwa mwaka 2022 na wengine 500 wapo hatua za mwisho kuajiriwa kibali cha kuajiriwa na bajeti imetengwa Mh. Raisi amekubali
Wanatakiwa waajiriwe 2100Jana waziri wa fedha kawashiwa moto uko bungeni TRA ina upunguf wa staff 2000
AKAJIBU
Tayar watumishi 1500 wameshaajiriwa mwaka 2022 na wengine 500 wapo hatua za mwisho kuajiriwa kibali cha kuajiriwa na bajeti imetengwa Mh. Raisi amekubali
Asnt3 kwa kumuelwa wazr👊Wanatakiwa waajiriwe 2100
Wameshaajiriwa 1500
Wanosubiria kuajiliwa 500+
Wanaosubiri kibali ajira zitangazwe ni 170+
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
HongeraNatoa shukrani zangu kwa wote waliofanikisha kunipa hints za interview ya written upande wa Mtakwimu niliyafanyia kazi mawazo yote na matunda yake nimeyaona najiandaa na stage inayofuata🙏🙏🙏🙏🙏
ThanksHongera
Bado hawaja pandisha mkuu, Vuta subira.Wakubwa PDF ya matokeo Mchumi II - MDA & LGA imewekwa wapii naona kule yale matangazo ya utumishi nimepitia sijaona au nimepita na wenge