HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Msaada hivi oral za utumishi zinakuwaje kwa ufupi ili tupate mwanga wapi pa kuanzia jamani

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Unaripoti saa Moja asubuhi, mnakaguliwa vyeti,mnakusanya simu. Kama mko wengi mnaganywa kwenye vikundi na vyumba vya usaili. Yote hayo mnaweza kumaliza hata kabla ya saa 3 asubuhi. Lakini amini Amin nakuambia kwenye usaili mtaanza kuingia saa 6 au saa 7. Hapa hata aliyekuwa na wenge la kusoma lazima wenge likate.
Maswali mara nyingi ni matano,swali kwanza unaambiwa tell us about your self.
Mengine manne utataja pointi zisizopungua Tano kwa Kila swali kulingana na kada husika.
 
hii itakuwa ni nzur.. naamin database inawataalam wengi, kuliko utumishi kufanya re-advertisement , waajiri waliopo kwenye database. mfano technologist phamacy II na Assistant nursing officer ANO naamin wapo database. ila naona leo wametoa re-advertisement ila utakuta hao wataalam wa hizo kada wapo kanzidata wengi
kikubwa wa balance programu zote
 
hii itakuwa ni nzur.. naamin database inawataalam wengi, kuliko utumishi kufanya re-advertisement , waajiri waliopo kwenye database. mfano technologist phamacy II na Assistant nursing officer ANO naamin wapo database. ila naona leo wametoa re-advertisement ila utakuta hao wataalam wa hizo kada wapo kanzidata wengi
Itakua walifeli oral
 
Mr.. majina Huwa wanakuwanayo pale tena yapo kwa mpangilio.. Sasa issu ni kwamba kwa kutaka kuondoa mkanganyika wa watu kujisajiri ovyoovyo kwenye karatasi mpya Huwa wanaita kwa mlolongo uleule wa marks,, so wa kwanza ataanza
Suala la kuitwa kuhojiwa kulingana na mpangilio wa marks za written naona sio jema kama ni kweli utumishi mnafanya hivyo. Sekretarieti ya Ajira

Kibinadamu lazima uta pay attention kwa aliyepata 95% kumsikiliza na kumpa alama kubwa kuliko atakaye ingia baada ya nusu saa aliyepata alama 50%.
Ki uhalisia hakuna uhusiano wa performance ya mtihani wa written na performance ya oral.
Ushauri, mle ndani anzeni upya hbr za arrangement kulingana na marks ACHENI kabisa kwani bado tuna imani nanyi.
 
Back
Top Bottom