AminYani,naomba Mungu members wa huu uzi sote tulambe asali mwaka huu,mana dah so poa.
AminYani,naomba Mungu members wa huu uzi sote tulambe asali mwaka huu,mana dah so poa.
Amin Amin Mwenyezi Mungu ni mkuuHongereni sana wote mliolamba asali...MDA LGA hawapo mbali Sana
Hahahahahahahaha Mimi inaniambia ni JuneRamli yangu yanambia ni MAY,lets wait and see
Amina,Mwenyezi Mungu akakuongoze katika utumishi wako,hongera sanaNdugu Zangu nawashukuru sana,tuendelee kupambana,nami ni mojawapo niliyepata placement Jana.Sio Kwa uwezo wangu ila najua ni Kwa uweza wa Mungu pekee.
Tusikate tamaa,mapambano yaendelee.
Napenda kuwatakia kazi njema watumishi wote wa
Sekretarieti ya Ajira.Hili ndio kimbilio letu wasaka Ajira wote.Sina connection nilipambana baada ya kufeli saili kadhaa bila kwenda Oral.Ila sikuchoka niliamini kama ipo na ipo.Hatimaye siku imefika.
Wale wote mnaosubiri placements pia msikate tamaa,Kikubwa ni kuombea mchakato wako kila siku,Mungu ni mwema sana.
#Tusikate Tamaa.
#Kazi Iendelee
Naomba kuuliza MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR II) walifanya oral mwezi upi kwa anaejua
Kwanini utumishi Wanatumia Muda mrefu kuita watu kazini?
Hivi Kuna kigezo tofauti wanaangalia ukiachana na namna ulivoperform usaili wa mahojiano?Tunafanya vetting. Wahuni mmekuwa wengi serikalini.
Tunataka nidhamu na watu waadilifu. Count this after 10-15 years, watakapoaanza kushika nafasi za uongozi.
Sipatii picha loans board waanze kukumenya na unapokea kimshahara cha halmashauri kile tgsd ,haaahaaaNa wakianza kukata loan board huwa inaathiri hata uwezo wa kukopa kwenye mabenk
Nakushauri kesho ikiwajia ukiwa mzima nenda sokoni kanunue chakula unacho penda ule ufurahi ,Ili uishi maisha marefu , PSRS watakuwa Kwa preshaJamani naombeni kuuliza waliofanya usaili wa oral MDAs and LGAs mkeka ushaanza kutoka??kama bado matarajio yanaweza kuwa mwezi Gani wazee wa prediction maana hizi nafasi zinakaribia mwaka sasa tangu zitangazwe na mchakato wake zilitangazwa mei 2022
Hivi Kuna kigezo tofauti wanaangalia ukiachana na namna ulivoperform usaili wa mahojiano?
Nenda kapigi kuraHAPANA [emoji1667]
Viongozi SS ivi wanaviburi sana, sio kama kipindi Cha jk, BenjaTunafanya vetting. Wahuni mmekuwa wengi serikalini.
Tunataka nidhamu na watu waadilifu. Count this after 10-15 years, watakapoaanza kushika nafasi za uongozi.
Internal auditors II tulifanya November tar 23, waliofanya Feb ni internal audit officersWalishapiga feb mkuu, wameshaanza na kuitwa bila shaka
Nisamehe ndugu yangu ndio nmetoka ku recover from C section kufumka fumka Kila mara ndugu yangu nipo offline tangu mwezi February Nina wiki tu tangu nianze kuimarika,nmepitwa na mengiMwamba huwa hautembelei huu Uzi Mara kwa Mara au web ya psrs?? Any way washaanza kuita kwa mwendo wa kinyonga
Tar 23/11/2022, Feb mwaka huu walifanya internal audit officersNaomba kuuliza MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR II) walifanya oral mwezi upi kwa anaejua
Hahaha haiyaNakushauri kesho ikiwajia ukiwa mzima nenda sokoni kanunue chakula unacho penda ule ufurahi ,Ili uishi maisha marefu , PSRS watakuwa Kwa presha
Pole sana, don't take it serious ni utani tu ila wameanza kuitaNisamehe ndugu yangu ndio nmetoka ku recover from C section kufumka fumka Kila mara ndugu yangu nipo offline tangu mwezi February Nina wiki tu tangu nianze kuimarika,nmepitwa na mengi
Pole sana mkuu.Nisamehe ndugu yangu ndio nmetoka ku recover from C section kufumka fumka Kila mara ndugu yangu nipo offline tangu mwezi February Nina wiki tu tangu nianze kuimarika,nmepitwa na mengi
MDAs and LGAs? Wameanza? Ila sio waliofanya mwezi wa pili?Pole sana, don't take it serious ni utani tu ila wameanza kuita
Usijali naelewaPole sana, don't take it serious ni utani tu ila wameanza kuita