Kwanini utumishi Wanatumia Muda mrefu kuita watu kazini?Niko tayari kupigwa wana madhaifu yao ila wao ni bora zaidi kuliko mchakato ukirudi taasisi husika.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
SHuHuda za zumaradi 🤣Vumilieni tu hata waliopata walivumilia pia sio kwamba wao hawakupitia huko kikubwa PSRS haki ipo tena ya kutosha sana, narudia tena PSRS ndio mkombozi mkubwa sana sana, cha ajabu wengi wetu tunalielewa hili kutokana na shuhuda za wenzetu au sisi wenyewe, tuvumilie mazuri yatamfikia kila mmoja aliethubutu na anaendelea kuthubu, tambua kuwa wakati wa MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI.
Muhimu kuingia kwenye system then tukifika huko tutapambana kupata greener pasture,yani haina kupoa[emoji1787]Niwaambie tu madogo wote mtakaopata wenyewe mnaita asali kwa upande wa TGS. Scale ya mwisho ni TGS H kama 2.3M. Na utafika hapo baada ya miaka 17 kazini. Wakati huko kwengine hiyo ni salary ya kuanzia
Amepatia Mzee, unataka akariri kama ilivyo vile vile😂 kwenye vitabu. Elimu sio kukariri mkuu , ni kujifunza kutokana na ulicho somaHii definition ya democracy uliisomea wapi Kiongozi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu ukishakuwa desparate unaweza kusema definition ya mountain ni Kilimanjaro.
The Hard way, Only The Way.
Don't force your destiny, keep calm it will find you.
Mawakala wamekuwa wengi[emoji23][emoji23][emoji23], mwifa unavituko sanaaa. Hakika uwepo wako humu ndani ni wa muhimu aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
We si ulishajibiwa kwa Evidence kwamba watu walishaitwa kazini MaryjuanWewe jamaa uko psrs waambie wenzio tunasubiri placement ya wizara ya ardhi toka 17/5/2022
Kwa hicho ulicho Sema apo 👆 kama ni kweli BaSi, Wacha PSRS waendelee kukukanda 🤣 TUnafikiri ni hicho hicho kizazi ndio kinatoa lawama sasa hivi pengine mwanzoni hicho kizazi wengi wao kipindi hicho kilikua bado hakijaingia oral sasa nahisi majority ya hicho kizazi sasa hivi kinasubiria placement kwaio ndo mana kinaendelea kuwa aggressive hadi kupeleka hizi habari kwa mange utadhan kila anaefanya usaili ni lazima apate kazi
mimi nimefanya saili nyingi sana hata oral tu sijawahi ingia na nimechoma nauli enzi hizo tunafanyia duce hadi leo hii PSRS wamehamia dodoma nipo tu lkn naamini ipo siku tu na mm ikifikia zamu yangu Mungu akipanga iwe itakua kama hajapanga basi tobo langu litakua pengine labda
Haya mambo ya status za psrs n pasua kichwaukifanya oral ukafeli inakuwa not selected kwenye app.
kama hukufanya itabaki hivyo
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Amka ndugu kumekuchaWadau kama hizi taarifa nizosikia kuhusu database ni kweli, Basi mama apewe tuh kiti cha uraisi 2025....
Hiyo ndio tunaita work hard or die poor. Ukiridhika tu kwamba nimepata serikalini ukakaa chini na TGS yako unakaribisha umasikini na madeniMuhimu kuingia kwenye system then tukifika huko tutapambana kupata greener pasture,yani haina kupoa[emoji1787]
I have a friend ambae kalamba asali juz juz,sahivi anakusanya nondo za taxation TRA ikijichanganya tu anaikanda anahamia huko.
mkuu treasury/hazina wanatumia scale gani??Hiyo ndio tunaita work hard or die poor. Ukiridhika tu kwamba nimepata serikalini ukakaa chini na TGS yako unakaribisha umasikini na madeni
taarifa gani mkuuWadau kama hizi taarifa nizosikia kuhusu database ni kweli, Basi mama apewe tuh kiti cha uraisi 2025....
Ndo hvo,kupambana lazma kukimbizana na muda piaHiyo ndio tunaita work hard or die poor. Ukiridhika tu kwamba nimepata serikalini ukakaa chini na TGS yako unakaribisha umasikini na madeni
[emoji23][emoji23][emoji23]Naskia kwenye database zimebaki slots 11 tu[emoji23]