mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,463
- 3,936
Yupo ndani ya muda.Aende kwenye Sanduku la Posta akaangalie Barua yake kama ishatumwa.Na kama Bado aende DODOMA Chapu....Wadau kuna jamaa amepata placement lakini amechelewa kuona tangazo la kuitwa kazini.
Tangazo lilitoka tarehe 29/3
Taarifa amepata leo
Na ndani ya siku 14 anatakiwa awe ameripoti
je mnamshauri afanyaje ili asiikose nafasi?
Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
Siku 7 huwa za kuchukua Barua.
Baada ya Hapo Ndani ya siku 14 kuripoti Kwa Mwajiri...
Achangamke.Muulize lile Sanduku la posta aliloandika au kama alibadirisha siku ya Usaili Adili nalo Hilo.