Sonam96
Member
- Jan 29, 2019
- 45
- 155
Amiiin 🙏Yani,naomba Mungu members wa huu uzi sote tulambe asali mwaka huu,mana dah so poa.
Amiiin 🙏Yani,naomba Mungu members wa huu uzi sote tulambe asali mwaka huu,mana dah so poa.
Pole sana mkuu, muda ukifika utapata mrija wa Asali. Kuwa na subira, mapambano yaendeleeKwa kweli ni yenyewe
Wakuu sjatoboa[emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063]
Waliopata hongereni sana
Mkawe watumishi wazuri
Ushakua mwenyeji wa dodoma sasa,kipupwe cha huko vpPole sana mkuu, muda ukifika utapata mrija wa Asali. Kuwa na subira, mapambano yaendelee
Hongera sana mkuu, Kila la kheri, ukawe Mtumishi mwema.Napenda kumshukuru Mungu, nimelamba mrija wa asali baada ya kuhustle miaka 4. Kwangu bado ni kama ndoto, sina hata mengi ya kuandika...Nawaombea wote ambao bado mnatafuta Mungu akawaonekanie!
Asubuhi baridi, mchana Jua.Ushakua mwenyeji wa dodoma sasa,kipupwe cha huko vp
Haha,huku sie jua kama tupo kiama.Asubuhi baridi, mchana Jua.
Ikifika mwezi wa 5 hadi 9 ndio baridi linakuwa kali balaa.
Tuliowahi kukandwa pale CIVE mwaka jana mwezi wa 9, tunalielewa baridi la kipindi hicho.[emoji3][emoji3]
Ramli yangu yanambia ni MAY,lets wait and seeHongereni sana wote mliolamba asali...MDA LGA hawapo mbali Sana
Nikiwa Dar huwa nasweat mwili wote yaani, utazani mvua inanyesha ndani ya nguo[emoji3][emoji3][emoji3].Haha,huku sie jua kama tupo kiama.
Ila bora jua la dar lina ka unyevu,jua lenu huko linakuaga kavu kinoma,mtu unaungua ila husweat[emoji23]
HatariNikiwa Dar huwa nasweat mwili wote yaani, utazani mvua inanyesha ndani ya nguo[emoji3][emoji3][emoji3].
Hongera sana, wakati wako umefika, ukawe na utumishi uliotukuka.Napenda kumshukuru Mungu, nimelamba mrija wa asali baada ya kuhustle miaka 4. Kwangu bado ni kama ndoto, sina hata mengi ya kuandika...Nawaombea wote ambao bado mnatafuta Mungu akawaonekanie!
Hongera sana Karibu utumishi wa UmmaNapenda kumshukuru Mungu, nimelamba mrija wa asali baada ya kuhustle miaka 4. Kwangu bado ni kama ndoto, sina hata mengi ya kuandika...Nawaombea wote ambao bado mnatafuta Mungu akawaonekanie!
Boss mpaka mwez ukatike utakua mwenyej tayar,fanya namna wanao wa MDA LGA mikeka itiririke tusherehekee pasaka vizurHongera sana Karibu utumishi wa Umma
Sijui wanasemaga Tawileee au Tawireee, sielewi ila mi nasema kabla ya April, MDA na LGA kitaeleweka.Ramli yangu yanambia ni MAY,lets wait and see
Ndugu yangu, tuwe na imani na Mungu wetu ni mwema atatenda kwa wakati sahihi tu, mema yako mbeleBoss mpaka mwez ukatike utakua mwenyej tayar,fanya namna wanao wa MDA LGA mikeka itiririke tusherehekee pasaka vizur
Ameeeeen yote yawezekanaSijui wanasemaga Tawileee au Tawireee, sielewi ila mi nasema kabla ya April, MDA na LGA kitaeleweka.
duuuuh hongera sana kaka kwa kupata kazi inaonekana hukati tamaa mapema kiongozi pia pole sana kwa kupigwa ban kwaio moderators walikupiga ban sababu umeanzisha uzi wa kufufua matumaini ya sisi tuliowengi au kuna sababu nyingine waliyokupiga ban?Guys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.
Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.
Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.