Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jamani naombeni kuuliza waliofanya usaili wa oral MDAs and LGAs mkeka ushaanza kutoka??kama bado matarajio yanaweza kuwa mwezi Gani wazee wa prediction maana hizi nafasi zinakaribia mwaka sasa tangu zitangazwe na mchakato wake zilitangazwa mei 2022
Mkeka ushaanza kutoka , wanatoa majina kidogo kidogo
 
Wadau kuna jamaa amepata placement lakini amechelewa kuona tangazo la kuitwa kazini.
Tangazo lilitoka tarehe 29/3
Taarifa amepata leo

Na ndani ya siku 14 anatakiwa awe ameripoti

je mnamshauri afanyaje ili asiikose nafasi?

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
Barua aliifuata utumishi? Kama hakufuata aende kwenye box akaangalie kama kweli wamemtumia au aifuate mwenyewe akawaombe, maana Naona zile siku Saba za kufuata barua zimeshaisha kitambo, hapo sijui labda watamuonea huruma kama hawajampa mtu mwingine.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hawawez mpa mtu mwingine mbaka ofisi aliyopangiwa itoe taarifa kwa psrs kua mhusika hajareport kazin, na hiyo process yote si chin ya mwez. Kuna siku saba za kuchukua barua utumishi then barua itatumwa kwa box la mhusika, then kuna siku14 za kureport kituo cha kazi
 
Kwa ufupi huyo mtu bado yupo ndan ya mda, nafasi yake ipo
 
Back
Top Bottom