Sarcasm kwamba asijipe umuhimu sana [emoji23][emoji23][emoji23]BREAKING: WanaJF wamlilia Mshasha baada ya ku-unsubscribe thread ya watu kujua kwanini utumishi wanachelewa kuita watu kazini.
Sarcasm kwamba asijipe umuhimu sana [emoji23][emoji23][emoji23]BREAKING: WanaJF wamlilia Mshasha baada ya ku-unsubscribe thread ya watu kujua kwanini utumishi wanachelewa kuita watu kazini.
Hongera sana kaka,
[emoji23][emoji23][emoji23], naona sasa hv PSRS wanatoa pdf ya kufungulia week na pdf la kufungia week. Kisha wanatulia mpaka week nyingine.Tawire baba[emoji1666][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23], mwifa unavituko sanaaa. Hakika uwepo wako humu ndani ni wa muhimu aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu ahsante wizara ya elimuHongera sana kaka,
umepata taasisi gani?
Hongera sana mkuu, wizarani napo si haba safari na semina ni shazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Navizia kimtindo kutoa pongezi maana hali si shwari humu
amna wao wenyewe tu ndo wamepiga cm....2019Vipi majina yenu yalionekana kwenye tangazo la kuitwa kazini kutoka database? Brela interview za March 2022?
Sijakuelewa, simu mmepigiwa 2023?amna wao wenyewe tu ndo wamepiga cm....2019
kwa tulipofikia inabidi tyuu maana wametuharibia mambo mengi kwa kukaa na placement muda mrefu.Jobless wenzangu mnaonaje tumtafute mange kimambi Instagram tumuombe atupostie kuhusu PDF la database la waziri alafu taarifa imfikie mama na waziri. Pia tuseme changamoto zote utumishi wanazitupa tujue moja kuliko kunyamaza na kuvumilia vitu visivyovumilika.
Mfano kutangaza kazi za Kada ambazo database watu wapo.
Kuhusu uwazi matokeo ya oral na ijulikane nani kapita database.
Tumechoka na kupitia maumivu mengi plus gharama kwa kuhangaika na utumishi. Tusikubali kudanganywa kama watoto wakiona tumelalamika wanatoa PDF za kuzugia tena ndogo page hadi 1 alafu cha ajabu watu majina yanajirudia
Hizi inshu za not selected zipo hiyo yangu niliipata baada ya oral ya IAE. PDF ishatoka cjatoboa .. Ila tusivunjike moyo wakati wa Mungu ukifika na cc tapata asali
View attachment 2527285
endelea kuwepo mkuuKuanzia June mwaka jana hadi sasa hivi, huu ndio uzi wangu pendwa, kila nikiingia JF brake ya kwanza ni humu.
Kwa kuwa nyakati huwa na mambo tofauti tunapaswa kuendana na wakati husika, wakati huu kuanzia February mambo yamebadilika kama tunavyoyaona, ili kukabiliana nayo haina budi kufanya maamuzi fulani.
Binafsi kwa sasa najikita kwenye kusoma kimya kimya kama baadhi ya wenzetu ambao huwa wanaousoma kimya kimya na wakipata placement ndipo wanajitokeza kuleta shuhuda na sisi bila kubagua huwa tunawapongeza kama kawaida maana kufanya vile inatia moyo wengine ambao bado hawafanikiwa.
Sasa ili pawe na amani humu inabidi mimi nikae kimya nisiseme kitu kuhusu PSRS maana nikisema natajiwa nickname waliyonichagulia.
Hali ya mtaani naielewa sana, tukianza kuelezeana humu mbona kila mmoja atagundua ana afadhali zaidi ya mwingine, hii hali isitugawe katikati ya mapambano.
unatosha kutuwakilisha majobless bungeni una content sana champSafari ya maisha ni fumbo gumu sana. Kama ilivo kifo na riziki ya mja aijuae yule aliyetuumba. Hivyo, kama riziki ni yako utaipata tu na kama si yako hutaipata. Jitihada kidogo inatosha kupata riziki yako. Kama ilivo kifo sababu ndogo tu yatosha kutoa uhai wa mtu.
Vivo hivo tabia ya mja ni ngumu kuitabiri. Jana mlikua wote mnapambana leo katoboa anakukimbia na kukubeza.
Katika uzi huu kuna watu aina mbali mbali. Waliopata kazi serikalini, Wasio na kazi kabisa ambao wana hustle kupata kazi serikalini, & wenye kazi binafsi ila wana hustle kupata kazi serikalini. Kiufundi kuna wanaoramba asali na ambao hawarambi asali wana hustle kupata fursa nao warambe asali.
Walioramba asali ambao walikua vinara kwenye mapambano wamekua wakiwapa moral support wengine ambao hawajaramba. Huu ni utamaduni mzuri sana. Lakini walioramba asali kuna kitu kidogo wamejisahau huenda kutokana na kuramba asali bila kutegemea. Kusudi la uzi huu si kupeana moyo wala tips za namna ya kufaulu interviews za utumishi bali ilikua ni kujibu hoja ya
“Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?”
Hivyo basi, wale walioramba asali wasisahau kua uzi huu ulitaka majibu ya swali hilo, haya mengine yalikuja ziada na yakashika hatamu.
Turudi nyuma tukienda mbele, tukumbuke kua utumishi wanatumia muda mrefu sana kufanya mchakato ambao ungeweza kuchkua muda mfupi. Kwanini nilisema walioramba asali wamejisahahu. Ni kwasababu wanasahau lengo la uzi huu na wanasahau kua utumishi kweli wanatumia muda mrefu ambao si rafiki kwa wasaka ajira.
Hivyo, pale taasisi ya serikali inapokosolewa basi iwe umeramba asali au hujaramba basi si uungwana kujibu tu kwasababu unalo jibu, bali ni vyema kujibu kukubaliana na anae kosoa kama ni kweli tatizo liekwe sawa au kukataa kama si kweli taasisi inasingiziwa. Swall la mzingi wa uzi huu, “Je, PSRS hawatumii muda mrefu?”
Wao hawasomi ila Mh. Rais si alisema anasoma nyuzi za humu JF???Hata hawasomi humu cha muhimu waibukie Asharose Migiro pale wachimbe biti za hatari na maswali kede kede watakujibu mwanakwetu.
yaah afsa ni kweli japo inauma sna, na ukumbuke nawe ulitoweka ghafla baada ya kukosa placement mpaka tukaanza kukuulizia ukowapi balozi.Vumilieni tu hata waliopata walivumilia pia sio kwamba wao hawakupitia huko kikubwa PSRS haki ipo tena ya kutosha sana, narudia tena PSRS ndio mkombozi mkubwa sana sana, cha ajabu wengi wetu tunalielewa hili kutokana na shuhuda za wenzetu au sisi wenyewe, tuvumilie mazuri yatamfikia kila mmoja aliethubutu na anaendelea kuthubu, tambua kuwa wakati wa MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI.
majobless mtazichapa sio mudaWewe zwazwa unajua principle za democracy wewe mwambie boss wako jobless tumechoshwa na michakato yenu
nafikiri ni hicho hicho kizazi ndio kinatoa lawama sasa hivi pengine mwanzoni hicho kizazi wengi wao kipindi hicho kilikua bado hakijaingia oral sasa nahisi majority ya hicho kizazi sasa hivi kinasubiria placement kwaio ndo mana kinaendelea kuwa aggressive hadi kupeleka hizi habari kwa mange utadhan kila anaefanya usaili ni lazima apate kaziWakati najoin huu uzi ulitumika kama hamasa, kutumiana maswali na kuelezana namna ya kujibu maswali kwenye interview. Bahati mbaya/nzuri kile kizazi cha hamasa chote Mungu amekibariki kimekula asali serikalini. Kizazi kilichobaki humu kimekuwa cha lawama na matusi. Officially na unsubscribe huu uzi kwa manufaa binafsi. Kama mnawaza kufikia hadi kwa Mange ilhali haujui kama upo au haupo hik ni hatari
23/11Naomba kuuliza MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR II) walifanya oral mwezi upi kwa anaejua