InshaAllah ikawe hivo...at least wawamalize nyie na sisi wa MDA LGAs tusogee sogeekesho pdf nyinginee in shaa Allah
Ameeeen tunapokeaaaa,hongera sana boss sana.Napenda kumshukuru Mungu, nimelamba mrija wa asali baada ya kuhustle miaka 4. Kwangu bado ni kama ndoto, sina hata mengi ya kuandika...Nawaombea wote ambao bado mnatafuta Mungu akawaonekanie!
kabisaa vijana ndo muda wetu huu.InshaAllah ikawe hivo...at least wawamalize nyie na sisi wa MDA LGAs tusogee sogee
Yani,naomba Mungu members wa huu uzi sote tulambe asali mwaka huu,mana dah so poa.kabisaa vijana ndo muda wetu huu.
Yap bila shaka itakuwa hivyoo ni jambo la muda tuYani,naomba Mungu members wa huu uzi sote tulambe asali mwaka huu,mana dah so poa.
Members wanaongeza kila siku...labda unamaanisha wakongwe[emoji28]Yani,naomba Mungu members wa huu uzi sote tulambe asali mwaka huu,mana dah so poa.
Mbona dec hakuna ad yoyote ya MUCEUsaili wa MUCE wa tangazo la December mpaka leo hawajaita watu kwa ajili ya kusailiwa...au wamefuta...koz naona nafasi ya assistant L kwenye history.
Yoyote yule au mkongwe au mgeni,so long as kajihusisha na huu uzi hapa bas baraka hizi zikamiminike kwake.Members wanaongeza kila siku...labda unamaanisha wakongwe[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina AminaYoyote yule au mkongwe au mgeni,so long as kajihusisha na huu uzi hapa bas baraka hizi zikamiminike kwake.
Ilikuwepo...december mwishoni ambapo mwisho ulikuwa january 11/2023Mbona dec hakuna ad yoyote ya MUCE
Hongereni wote mliolamba Asali, mkawe Watumishi wemaPlacement ya NIT ARU OUT
kufaulu tunafaulu tena vzuri ila hawatupi nafasi , ata nafasi kutoka kutoka database hamna. inauma sana kila pepa nanyoosha A lakini wapii..Acheni huu upuuzi wa kuringishiana vyuo mlivyosoma, Kuna watu tumesoma vyuo vyenye profile kubwa bongo lakin tukienda utumishi tunakandwa! profile ya chuo na kufaulu interview za utumishi ni vitu viwili tofauti! By the way, kusoma chuo chenye profile kubwa sio kipimo Cha kuwa wew ni intellect sana kuzid hao waliosoma hivyo vyuo unavyoviona kama ni low class! Yamkini! pepa tu la form six lilikuja upande wako ukapata nafasi ya kwenda hicho chuo, au ulibebwa tu na GPA ya kupewa toka diploma! Let's stop this nonsense and pray to God that we get the chance to enjoy the national cake, Period!
Nmechek archives hamnaIlikuwepo...december mwishoni ambapo mwisho ulikuwa january 11/2023
My Eyes full of joyful tears with this shocking news, congratulation brother!Guys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.
Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.
Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.
Hongera sana ndgNapenda kumshukuru Mungu, nimelamba mrija wa asali baada ya kuhustle miaka 4. Kwangu bado ni kama ndoto, sina hata mengi ya kuandika...Nawaombea wote ambao bado mnatafuta Mungu akawaonekanie!
Kama unaamin umefanya part yako vzr bas haukua mpango wa Mungu. Usikate tamaa,keep praying,zungumza na Mungu atakufanyia wepesi.kufaulu tunafaulu tena vzuri ila hawatupi nafasi , ata nafasi kutoka kutoka database hamna. inauma sana kila pepa nanyoosha A lakini wapii..
juzi tu nimekosa nafasi, ila oral nilijibu vzuri kwa point sahihi lakini nmekosa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uje utusabahi sasa hapa Tambukareli ukiwa unatoka kuchukua barua Asha rose Migiro[emoji3]Mkuu nikifuata Barua nitakuja kwa kutuliiia...
Nieleeeze kila kituu. Humuu.
Maana huu Uzi bado haujamaliza Mwaka ila ushuhuda watu wametooa wengi sana.
Mimi naye nimebahatikaa kupata..
Kikubwa tupambaneee