Chuo kikuu cha mzumbe ,uhandisiTaasisi gani yenye hii scale aisee?
Chuo kikuu cha mzumbe ,uhandisiTaasisi gani yenye hii scale aisee?
Makato ni machungu kama shubiriHESLB ni mchawi kinyama na pesa zake zilikuwa tamu kweli kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nadhani alimaanisha kada za afya sio zoteTaasisi nyingi watu wanajitolea kwa connection, kauli ya spika ya kusema wanaojitolea wapewe kipaumbele kwenye ajira wakisema waitekeleze itakua ni uchochoro wa kupachikana kwenye mirija ya ajira
pdf la database 1769 aliloahidi jenista bado tu jamani ?
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Hata kwenye kada za afya ni Yale yalenadhani alimaanisha kada za afya sio zote
Mkuu vipi na hii scale ya PUSS 4, inaanzia sh. ngapi ?1,375,000/=
Puss sifahamMkuu vipi na hii scale ya PUSS 4, inaanzia sh. ngapi ?
Bado, ila wakianza itakuwa vilio sanaWashaanza kuvuta chao??
Nadhan huwa wanaanza baada ya mwaka mmoja kama sikoseiBado, ila wakianza itakuwa vilio sana
Bado, ila wakianza itakuwa vilio sana
Nadhan huwa wanaanza baada ya mwaka mmoja kama sikosei
Daahh, hili zari nikiniangukia naweza kuwa kwenye wakati wa ahueniKuna mshkaji wangu walianza baada ya miezi nane
Akili ya kujiongeza ndio inabidi ifanye kazi kwa speed ya mwanga aisee kwenye situation hiiSema bora waanze mapema umalizane nao mapema
Wadau wa huu uzi kindly kapigeni kura na kutoa comments kwenye jukwaa la Ajira na Tenda
SWALI MTAMBUKA
Je Taasisi na mashirika wafanye saili kama kipindi Cha jk ?
Na wakianza kukata loan board huwa inaathiri hata uwezo wa kukopa kwenye mabenkAkili ya kujiongeza ndio inabidi ifanye kazi kwa speed ya mwanga aisee kwenye situation hii
Mwamba huwa hautembelei huu Uzi Mara kwa Mara au web ya psrs?? Any way washaanza kuita kwa mwendo wa kinyongaJamani naombeni kuuliza waliofanya usaili wa oral MDAs and LGAs mkeka ushaanza kutoka??kama bado matarajio yanaweza kuwa mwezi Gani wazee wa prediction maana hizi nafasi zinakaribia mwaka sasa tangu zitangazwe na mchakato wake zilitangazwa mei 2022
Aiseee kumbe tunaosubiri MDA LGA tupo wengiii....Mwenyezi Mungu akaonekanike kwetu jamaniInshaAllah ikawe hivo...at least wawamalize nyie na sisi wa MDA LGAs tusogee sogee