Mimi bado inaniandikia "no placement found"Wale mloonja asali kule kwenye app kwenye placement wanawaandikia chochote au panabaki vilevile?
Hongera Kenfurah Naona leo hujalala kabisa , chezea placement wewe💪🏼😁Mimi bado inaniandikia "no placement found"
Kama sababu ni huu uzi basi tunamuomba Maxence Melo amtolee BAN yake.duuuuh hongera sana kaka kwa kupata kazi inaonekana hukati tamaa mapema kiongozi pia pole sana kwa kupigwa ban kwaio moderators walikupiga ban sababu umeanzisha uzi wa kufufua matumaini ya sisi tuliowengi au kuna sababu nyingine waliyokupiga ban?
Mkuu mrejesho wako naona unautoa kiusomi usomi wa Cuba, kwa hiyo wana Cuba Alumn ndio tupigie mstari?Mungu ni mwema sana ndugu Zangu, tuendelee kuamini kwenye suala la Muda Kwa Kila mtu.Tusikate Tamaa.
Liwe Baya au zuri tunashukuru Mungu siku zote.
hapana afsaKwann tena mkuu? Wewe haukufanya mojawapo ya hizo taasisi?
Yaniiii[emoji848]Mkuu mrejesho wako naona unautoa kiusomi usomi wa Cuba, kwa hiyo wana Cuba Alumn ndio tupigie mstari?
MOCUKwa hiyo wa mwezi November na December wameshaisha..?, wamebaki waliofanya interview january na febuar
According to archives,zilizofanyika nov na dec niKwa hiyo wa mwezi November na December wameshaisha..?, wamebaki waliofanya interview january na febuar
Jambo limetiki kakaMkuu mrejesho wako naona unautoa kiusomi usomi wa Cuba, kwa hiyo wana Cuba Alumn ndio tupigie mstari?
Hana ban kwa sasa. AsanteMaxence Melo nakuomba kwa niaba ya wapambanaji wa uzi huu, umtolee BAN OP wa uzi huu.
Rafiki yangu nakushukuru Kwa maombi yenu,tuzidi kuombeana tu.Nimepata placement 🙏Yaniiii[emoji848]
SUA nayo naona badoMocu
Lita
Osha
Mwauwasa
Tmda
Basata
Namanyere
MJNUAT
MDA LGA
Zilizobaki[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Hongera sana mkuu we ndo umesababisha tuwepo hapa hongera sana muasisi.Guys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.
Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.
Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.
Me nlishapigia mstar,tunafrahi umelamba asali.Rafiki yangu nakushukuru Kwa maombi yenu,tuzidi kuombeana tu.Nimepata placement [emoji120]
According to archives,zilizofanyika nov na dec ni
NOVEMBER 2022
MOCU
ASA
MUCE
ARU
LITA
WIZARA YA KILIMO
OSHA
MWAUWASA
TMDA
TARI
TGDC
BASATA
DEC 2022
AICC
TRA
MUCE
OUT
NAMANYERE HOSP
MJNUAT
Sasa hapo utoe ambazo tayar washaitwa utapata
LITA ilikuwa December 7, na sio November mkuu.According to archives,zilizofanyika nov na dec ni
NOVEMBER 2022
MOCU
ASA
MUCE
ARU
LITA
WIZARA YA KILIMO
OSHA
MWAUWASA
TMDA
TARI
TGDC
BASATA
DEC 2022
AICC
TRA
MUCE
OUT
NAMANYERE HOSP
MJNUAT
Sasa hapo utoe ambazo tayar washaitwa utapata zilizobaki
SUA sjaiona,na wao walifany nov/dec???SUA nayo naona bado