Mwamba95
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 148
- 382
APo hakuna correlation mkuu ila kikubwa ni over time wanaonekana wanapiga kazi hadi usiku wa manane😅😅Utakuwa haufuatilii PDF.
Mara nyingi PDF zinatoka usiku, wadau washawahi kusema, ifikapo usiku jam ya wanaotembelea tovuti inakuwa sio kubwa na wao inakuwa rahisi ku aplodi. (sina uhakika lakini)
Utakuwa haufuatilii PDF.
Mara nyingi PDF zinatoka usiku, wadau washawahi kusema, ifikapo usiku jam ya wanaotembelea tovuti inakuwa sio kubwa na wao inakuwa rahisi ku aplodi. (sina uhakika lakini)
APo hakuna correlation mkuu ila kikubwa ni over time wanaonekana wanapiga kazi hadi usiku wa manane😅😅wao inakuwa rahisi ku aplodi. (sina uhakika lakini)