mkeka wao utatoka leo labdaALAF MKEKA BADOOOO HAWAJAUTOA KWAHYO ZINAANZA BARUA ALAF MIKEKA
mkeka wao utatoka leo labdaALAF MKEKA BADOOOO HAWAJAUTOA KWAHYO ZINAANZA BARUA ALAF MIKEKA
Hongera sana mkuu Kila mtu na wakati wake.ngoja Nasie tuendelee huu Uzi naona wadau wanazidi kutikitia 😃Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Utatoka Leo tumeisha pata uhakika ukiona mabadiliko tu ujue tyr safarimkeka wao utatoka leo labda
Asante sanaYayyyyy hongera sanaaaaaa
Asante sanaHongera sana mkuu Kila mtu na wakati wake.ngoja Nasie tuendelee huu Uzi naona wadau wanazidi kutikitia 😃
Kabisa nilikua siamini ila now nimeaminiSI NILIKUAMBIA KAKA ANDAAAA BAG LAKINIIII ALL THE BEST
NA WAMEKUPANGA ULIYOOMBA AU UMEPEWA KADA NYINGINEKabisa nilikua siamini ila now nimeamini
Apo umeula mkuu karibu ktk utumishi wa ummaTaasisi ya utafiti wa misitu
Kada niliyoombaNA WAMEKUPANGA ULIYOOMBA AU UMEPEWA KADA NYINGINE
Asante sanaApo umeula mkuu karibu ktk utumishi wa umma
Wizara ya maliasili na utalii ni buyu la asali iloAsante sana
Kwamba Taasisi iko vizuri
Na kuna uzi wa wanaoulizia mshaharaYaani kuna uzi wa wanaotafuta kuingia kwenye mfumo.
Kuna uzi wa walio kwenye mfumo wanapambana kuhama
Karibu kwenye utumishi wa umma hongeraNiko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa