HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Inaonekana wengi humu tunasubilia mkeka wa mda and lgas..mungu atubaliki tuweze kupata maana hustle ni nying sana kitaa lifu alieleweki..ukiacha mm nano mwingine anasubilia mkeka wa mda na kitengo gan? Mimi binafsi Niko pale kwa economist aisee dude liteme tu
Post za BBA,Accounts, Economy, HR watu huwa ni wengi sana tofauti na hizi za science. Kuna hizo Microbiology UDSM Shortlisted 26 waliokuja written interview 3.
 
Inaonekana wengi humu tunasubilia mkeka wa mda and lgas..mungu atubaliki tuweze kupata maana hustle ni nying sana kitaa lifu alieleweki..ukiacha mm nano mwingine anasubilia mkeka wa mda na kitengo gan? Mimi binafsi Niko pale kwa economist aisee dude liteme tu
Yah! asilimia kubwa humu ndani ni MDAs & LGAs. nahisi ndio utakuwa mkeka wa mwisho wa kufungia mwaka 2023.
 
Labda wameanza na wa No-feb 2023 then ndio watarudi miaka ya nyuma. lakini nasikiaga wakurungwa wanasema ckuizi database inatunza watu for 1 year. ikizidi apo bila placement inakula kwako.
Toka tamko la Mh Mhagama!!inamaana walio fanya usail kuanzia feb(2022) wapo ndani ya mwaka. Kama saili zinachukua mwaka mzima kuita mpaka kuwapangia watu kazi haileti maana ya kusema data base mwaka mtu anatoka....
Hapa wanatupanga!

TRA Mama(Rais) asingeleongea wangetoa majina kwa kuchelewa na wangetangaza tena japo analundo la watu aliowaita oral. Wawe na huruma na hofu ya Mungu hata kama per diem ni Tamu!

Mungu amsimamie Mama(Rais) anaupendo sana na vijana.
 
Ukiangalia flow ya PDF utagundua hakuna single PDF kwa database peke yake watu wanapunguzwa na kuongezeka . Kila Oral interview inazalisha CANDIDATES wa database na kila baada ya mwaka kuna candidates kwenye database wana expire.
Tatizo wanatangaza kazi za Kada zilezile ambazo database watu wapo ili kutafuta posho na hiyo sio sawa hata kidogo.
Ukirud kutoa PDF la database peke yake mbna inawezekana na ukifatilia placement za nyuma utaona mfano pdf la July 2022 walitoaga PDF la database peke yake

Tuzid kupaza sauti PDF la database litoke otherwise watajidai wanachotoa polepole kuchanganya na hz ambazo placement bado kumbe wanazuga tu kudanganya umma
 
Toka tamko la Mh Mhagama!!inamaana walio fanya usail kuanzia feb(2022) wapo ndani ya mwaka....
Kama sail zinachukua mwaka mzima kuita mpaka kuwapangia watu kazi haileti maana ya kusema data base mwaka mtu anatoka....
Hapa wanatupanga!!!
TRA Mama(rais) asingeleongea wangetoa majina kwa kuchelewa na wangetangaza tena japo analundo la watu aliowaita oral...Wawe na huruma na hofu ya Mungu hata kama per diem ni Tamu!!!
Mungu amsimamie Mama(rais) anaupendo sana na vijana
Basi wangejitahid ambao waliofanya mwaka Jana wapate kwanza wa database alafu waje wa mwaka huu sababu mda inaexpire na wengine watakosa
 
Ukiangalia flow ya PDF utagundua hakuna single PDF kwa database peke yake watu wanapunguzwa na kuongezeka . Kila Oral interview inazalisha CANDIDATES wa database na kila baada ya mwaka kuna candidates kwenye database wana expire.
With vivid example hiyo PDF ya database asa kwanini sasa hv hawatak kutoa hizo nafas 1767 za waziri alizosema
 

Attachments

Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list, hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa
Hongera sana Ndugu! Ikawe kheri kwako
 
Yenye majina machache kama hii possibility ipo kabisa na mimi naiona ila 1700+ one time placement sina uhakika
Hapo wanatoa kidogo kidogo kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia....boss mpk anazungumza vile Inamaana ameona mapungufu ya serikari....kama tamisemi wanatoa watu zaidi ya 9,000 washindwe utumishi...
Wakitaka waaminiwe na kutengeneza per diem nying wapunguze watu kuwaita Oral wengi (nafasi moja inagombewa na watu wanne hapo unategemea wasailiwa watajenga nn +cost ya dodoma)
 
Back
Top Bottom