Habari ndugu zangu , Tumsifu Yesu Kristo , Bwana Yesu asifiwe na Asalamalekum.
Naomba kujuzwa jambo moja hizi post za MDA na LGA salary scale zake zilikuwa ni za TSG kwa mujibu wa tangazo la kazi, ninachotaka kujua ni kwamba iwapo mtu ukapangiwa kwenye let say MDA kwa taasisi zinazojitegemea kimishahara na ambao wanatumia salary scale zao, mfano mtu amepangiwa Afisa ukaguzi wa ndani( Internal audit officer ) labda TPDC au kwenye vyuo vikuu au taasisi za elimu, mwajiriwa huyu atalipwa mshahara kwa kutumia salary scale ya TGS au ya kule alipopangiwa kituo cha kazi?