Hongera sana mkuu, kila la kheri ukawe mtumishi mwema.Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list , hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi,, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaNasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu
Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview
lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Vijana hawajui tu kama asali itawafuata walipo mdogo mdogo, mtatofautiana muda tu lkn possibility ya kulamba ni kubwa mno mno. Wacha mashuhuda waongezeke na bado wataongezeka, hakika mama anaupiga mwingi saana, tunaongeza idadi ya mabaloziHongera sana mkuu, kila la kheri ukawe mtumishi mwema.
Tunaposema muwe na subira ndio namna hii sasa
Hongera sana mkuu, taasisi gani? Na nafasi ipi?Nasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu
Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview
lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Hongera sana afsa umelamba taasisi gani , na status inasomaje mkuu kwa app tupeane faraja?Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list , hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa
Hongera sana boss,ukawe mtumishi mwema.Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list , hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi,, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa
Mkuu umeamini database ipooo japo inatema ado adoHongera sana afsa umelamba taasisi gani , na status inasomaje mkuu kwa app tupeane faraja?
Bila shaka ni zile nafasi 20 za Afisa ....Kuna mdau kaonekana kwenye pdf hapo tume ya ardhi tulipiga nae February 13, 2023 sijajua katika idadi ndo kashapungua au la mana ndo wa kwanza toka tumepiga oral
Kada za "technical staffs" mfano laboratory scientists, laboratory technicians, engineers n.k walifanya interview. Oral ilikua January 30 na 31.Hivi wale wa udsm ni database?au walifanya saili ndo mkeka wao umetoka?
Scale ya alikopangiwaHabari ndugu zangu , Tumsifu Yesu Kristo , Bwana Yesu asifiwe na Asalamalekum.
Naomba kujuzwa jambo moja hizi post za MDA na LGA salary scale zake zilikuwa ni za TSG kwa mujibu wa tangazo la kazi, ninachotaka kujua ni kwamba iwapo mtu ukapangiwa kwenye let say MDA kwa taasisi zinazojitegemea kimishahara na ambao wanatumia salary scale zao, mfano mtu amepangiwa Afisa ukaguzi wa ndani( Internal audit officer ) labda TPDC au kwenye vyuo vikuu au taasisi za elimu, mwajiriwa huyu atalipwa mshahara kwa kutumia salary scale ya TGS au ya kule alipopangiwa kituo cha kazi?
yaah champMkuu umeamini database ipooo japo inatema ado ado
Hongera kaka ila imepita mda gan paka umeitwa database, yan interview yako ya mwisho ulifanya lini. ?Nasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu
Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview
lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Sawa ndugu ahsante kwa jibuScale ya alikopangiwa
Taasisi zinazojitegemea zina salary scale zao, kwahiyo lazima(ingawa sina uhakika) atatumia scale ya huko hata kama alifanyia usahili tangazo lenye scale ya TGS.Habari ndugu zangu , Tumsifu Yesu Kristo , Bwana Yesu asifiwe na Asalamalekum.
Naomba kujuzwa jambo moja hizi post za MDA na LGA salary scale zake zilikuwa ni za TSG kwa mujibu wa tangazo la kazi, ninachotaka kujua ni kwamba iwapo mtu ukapangiwa kwenye let say MDA kwa taasisi zinazojitegemea kimishahara na ambao wanatumia salary scale zao, mfano mtu amepangiwa Afisa ukaguzi wa ndani( Internal audit officer ) labda TPDC au kwenye vyuo vikuu au taasisi za elimu, mwajiriwa huyu atalipwa mshahara kwa kutumia salary scale ya TGS au ya kule alipopangiwa kituo cha kazi?
Hongera kwako mkuu,ulimpiga oral interview ipi kaka...Nasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu
Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview
lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
kweli kama yupo atujuzeTaasisi zinazojitegemea zina salary scale zao, kwahiyo lazima(ingawa sina uhakika) atatumia scale ya huko hata kama alifanyia usahili tangazo lenye scale ya TGS.
Pia, hili swali lako linahitaji jibu kutoka kwa mtu ambaye amepata nafasi huko. Kama yupo atujuze