Kijiji cha Wajinga
Member
- Dec 7, 2019
- 90
- 279
sawa endelea kulisubili litakuja.Unatuambia nini wewe?? Sisi tunataka pdf la database watu 1767 kama alivyosema waziri. Tutaenda hadi kwa Mange ili mradi tuwachongee mama aone. Hatuwezi kupotezewa muda kwa uzembe wa wapenda “padiemu”[emoji23][emoji23]
Alisikika msaka ajira mwenzangu akiwaka sana huku kijasho chembamba kikimtoka.