Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
Nilidhani asali za wizara zinatofautiana.nimeskia wizaran asali ni nzito sio kama halmashauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani asali za wizara zinatofautiana.nimeskia wizaran asali ni nzito sio kama halmashauri
Inawezekana pia
Watu ni wengi sn nafkr natamn watoe pdf moja kubwa safi maana kwa kidogo naona km itachukua muda sn maana kuna post za watu 100.n kada ni nyingi piaHivi Mda na Lga hawawezi kutoa pdf Moja? Kama pdf la Naot,Tra etc
Hawezi tena kuajiriwa SERIKALINI unless aongeze sifa za kuajiriwa mfano Kama ana degree apate masters ndiyo anaweza kuomba kazi inayotaka mastersHello guys! Hope wote mko poa. Naomba kupata uelewa ikitokea mtu amepata Placement PSRS then akaamua kuipiga chini kwa sababu moja au nyingine hususani kwenye upande wa maslahi. Je ni adhari zipi ategemee kukutana nazo kwa uamuzi wake wa kutokwenda kureport kituo Cha Kazi alichopangiwa?
Je ataruhusiwa kuomba Kazi Tena utumishi?msaada au mawazo tafadhali kwa wenye uelewa juu ya hili
fafanua hii scenario, imekutokea mkuu?Kuna mtu yeyote alifanya oral, ila baada ya matokeo au list ya watu kuitwa kazin kutoka na hakuwepo kwenye hio list, account yake kwenye app imebadilika kutoka kuwa selected for oral interview na kuwa not selected for oral interview
Kamanda mim pia ni msaka mirija ya Asali. ila kuna mda inabidi tukubaliane na hali halisi na tuwaachie utumishi wafanye kazi yao as long as USHUHUDA WA DATABASE UNATOLEWA NA MEMBERS KIBAO HUMU. Mh.Mhagama alitoa kauli tu lakini ufanyaji wa iyo kauli utumishi ndio wanadili nayo. Wengi tulitamani PDF la 1700+ litoke feb lakin haikuw ivyo.Kiongozi !!!Kauli ya Mh.Mhagama kaisikilize vizuri!!!!Mtawafanya maboss zenu watolewe kwenye uboss kama wamewatuma kujibu hoja za Jobless unajibu hvy!!!!
Mama(Rais) bado anatumaini mawazo ya vijana ni neema kwake 2025 kuliweka taifa katika uwiano mzuri kama umeshamtambua.
Tujibu kwa hoja ukiona kwako ni ngumu bora kunyamaza...
Mungu atupiganie bestlooser wote tunaotafuta asali ya Utumishi kwenye data base ya 1700+
Haya mabadiliko umeyaona baada ya list kutoka, je ulikua unafatilia App kuona kama ilibadilika before?Sentensi inaeleweka. Yes
Ni kada gan ulifanya na oral ulifanya lini?Ndio.. imebadilika baada ya watu kuitwa kazin. Hata baada ya kufanya oral, ilikuwa bado selected for oral. Imebadilika baada ya watu kuitwa kazin!
hzi status pasua kichwaNdio.. imebadilika baada ya watu kuitwa kazin. Hata baada ya kufanya oral, ilikuwa bado selected for oral. Imebadilika baada ya watu kuitwa kazin!
Sina uhakika boss but wakali wa hizi kazi wanadai kua after oral interview status ikibaki SELECTED FOR ORAL means UPO DATABASE.Ndio.. imebadilika baada ya watu kuitwa kazin. Hata baada ya kufanya oral, ilikuwa bado selected for oral. Imebadilika baada ya watu kuitwa kazin!
Bado sijapata evidences za kutosha kuweza kuamin katika mabadiliko ya status, uhakika ni PDF tuhzi status pasua kichwa
So hapo kuna pdf direct ambayo ni web na database ambayo ni apps kwa maana iyo nilivyokuelewa au?Sina uhakika boss but wakali wa hizi kazi wanadai kua after oral interview status ikibaki SELECTED FOR ORAL means UPO DATABASE.
Na ikiwa NOT SELECTED FOR ORAL,data base HAUPO.
Kwenye app ipoje?Ndio.. imebadilika baada ya watu kuitwa kazin. Hata baada ya kufanya oral, ilikuwa bado selected for oral. Imebadilika baada ya watu kuitwa kazin!
Kwamba app na web inaweza onesha vitu viwili tofautiKwenye app ipoje?
Mabadiliko ya status (Web na App) hayana maana yeyote katika kupata au kukosa placement. PDF pekee ndio yenye kuthibitisha kuwa Mh. Jobless amepata/ amekosa placement.Bado sijapata evidences za kutosha kuweza kuamin katika mabadiliko ya status, uhakika ni PDF tu
Inawezekana kuonyesha vt 2 tofauti...kwenye app walirekebisha nfkri kuondoa zile null ila kama ulifika oral na bado inasoma not selected for oral kwenye app hapo kidgo inabdi kujitathini mkuuKwamba app na web inaweza onesha vitu viwili tofauti
Sjakuelewa mkuuSo hapo kuna pdf direct ambayo ni web na database ambayo ni apps kwa maana iyo nilivyokuelewa au?