Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,852
- 10,969
TRA Ndio bye bye mama Jane 🤣Et me kuna mda nafkr kua yale mashirika/halmashaur yaliyotangaza kazi placement zao zikitoka ndo MDA LGA tunapachikwa humo[emoji848]
TRA Ndio bye bye mama Jane 🤣Et me kuna mda nafkr kua yale mashirika/halmashaur yaliyotangaza kazi placement zao zikitoka ndo MDA LGA tunapachikwa humo[emoji848]
Amechukua barua but hajatipoti kituo Cha Kazi na currently anafikiria kutorepory kabisaJe huyo mtu ameshafata barua PSRS? Amepeleka kwa muajiri?
daaahh!Amechukua barua but hajatipoti kituo Cha Kazi na currently anafikiria kutorepory kabisa
MUNGU NI MKUU SASA NAMI NIMEONA JINA LANGU KWENYE LIST , HONGERENI MLIOPATA NA WOTE AMBAO HAMJAPATA TUENDELEE KUPAMBANA KWANI MUNGU ANAJIBU KWA WAKATI SAHIHI,, NIKIANGALIA CHANGAMOTO NILIZONAZO KWELI GOD IS THERE NA ANAJIBU TUSIKATE TAMAA
Hapo nmekuelewa boss[emoji1666]Ukichukua barua PSRS(Masijala ya Wazi) unampelekea mwajiri pamoja na nyaraka(vyeti).
Sasa mwajiri ndio atakuambia ni lini utaanza kazi, hapo ndipo wengi wetu huambiwa watapigiwa simu, ambapo ndio muda wa kupigiwa simu unatofautiana kulingana na maandalizi ya mwajiri.
Mwajiri kama kashajiandaa mapema, haitachukua muda mrefu kukamilisha taratibu na kuwaita mkaanze kazi.
Point yangu ni kuwa, Waajiri wote hawezi kulingana mipango yao ya kupokea waajiriwa wapya ndio maana suala la kutoa placement ya MDA na LGA kwa mkupuo haliwezekani. Hata hivyo endapo likitoka kwa mkupuo, lazima kila mwajiri atakuwa na utaratibu wake wa kuwaita mkaanze kazi.
Na TPDC pia STAMICO,pia wizara ya viwanda,alooo mizinga mingi ya asali ishasepa [emoji2296]TRA Ndio bye bye mama Jane [emoji1787]
dogo lalaaNa TPDC pia STAMICO,pia wizara ya viwanda,alooo mizinga mingi ya asali ishasepa [emoji2296]
Si mmeniambia nikeshe nasoma jamani[emoji19]dogo lalaa
Wadau naomba mtusaidie majibu ya hili swaliHello guys! Hope wote mko poa. Naomba kupata uelewa ikitokea mtu amepata Placement PSRS then akaamua kuipiga chini kwa sababu moja au nyingine hususani kwenye upande wa maslahi. Je ni adhari zipi ategemee kukutana nazo kwa uamuzi wake wa kutokwenda kureport kituo Cha Kazi alichopangiwa? Je ataruhusiwa kuomba Kazi Tena utumishi?msaada au mawazo tafadhali kwa wenye uelewa juu ya hili
Sina uhakika Sheria ainasemaje ila nakumbuka Anaweza ruhusiwa kuomba kazi ila sio sawa na ile ailiyoikataa kama umekataa ICT OFFICER huwezi omba Tena hiyo kazi
Kama ni hivyo watoe placement then kuanza kazi ndo kutofautiane au unaonaje mkuu!Ukichukua barua PSRS(Masijala ya Wazi) unampelekea mwajiri pamoja na nyaraka(vyeti).
Sasa mwajiri ndio atakuambia ni lini utaanza kazi, hapo ndipo wengi wetu huambiwa watapigiwa simu, ambapo ndio muda wa kupigiwa simu unatofautiana kulingana na maandalizi ya mwajiri.
Mwajiri kama kashajiandaa mapema, haitachukua muda mrefu kukamilisha taratibu na kuwaita mkaanze kazi.
Point yangu ni kuwa, Waajiri wote hawezi kulingana mipango yao ya kupokea waajiriwa wapya ndio maana suala la kutoa placement ya MDA na LGA kwa mkupuo haliwezekani. Hata hivyo endapo likitoka kwa mkupuo, lazima kila mwajiri atakuwa na utaratibu wake wa kuwaita mkaanze kazi.
Nijuacho mimi, usipo ripoti hakuna tatizo zikitoka unaweza omba tena ila changamoto upate check no. halafu uache hapo ndo kimbembe.Hello guys! Hope wote mko poa. Naomba kupata uelewa ikitokea mtu amepata Placement PSRS then akaamua kuipiga chini kwa sababu moja au nyingine hususani kwenye upande wa maslahi. Je ni adhari zipi ategemee kukutana nazo kwa uamuzi wake wa kutokwenda kureport kituo Cha Kazi alichopangiwa? Je ataruhusiwa kuomba Kazi Tena utumishi?msaada au mawazo tafadhali kwa wenye uelewa juu ya hili
Kuna Jamaa yangu mwez wa 8 mwaka jana alifanyaga interview za utumish mashirika mawili tofaut zilipishana kama week, majibu yalivyotoka akafaulu taasisi ya Kwanza akaanza kazi then baada ya mwez yakatoka tena mengine nayo amefaulu, so kwa kuwa alikuwa ameshapata kazi akahamua kubak huko huko taasisi ya kwanza, wale wengine wakaomba mtu mwingne tu from database nafas ikajazwaHello guys! Hope wote mko poa. Naomba kupata uelewa ikitokea mtu amepata Placement PSRS then akaamua kuipiga chini kwa sababu moja au nyingine hususani kwenye upande wa maslahi. Je ni adhari zipi ategemee kukutana nazo kwa uamuzi wake wa kutokwenda kureport kituo Cha Kazi alichopangiwa? Je ataruhusiwa kuomba Kazi Tena utumishi?msaada au mawazo tafadhali kwa wenye uelewa juu ya hili
sawa endelea kulisubili litakuja.
Kiongozi !!!Kauli ya Mh.Mhagama kaisikilize vizuri!!!!Mtawafanya maboss zenu watolewe kwenye uboss kama wamewatuma kujibu hoja za Jobless unajibu hvy!!!!Watu wanakaza ubongo, kusubili PDF ya 1,767 wakati wanaona kila PDF ikija inakuja na watu wa database.
Hiyo itakuwa hatari kwake, pale alipochukua barua si alisaini? Utumishi wanafahamu ameshachukua, bora asingelichukua.Amechukua barua but hajatipoti kituo Cha Kazi na currently anafikiria kutorepory kabisa
Hv wizara ya viwanda nayo ina asali sana tofauti na wizara nyingine?Na TPDC pia STAMICO,pia wizara ya viwanda,alooo mizinga mingi ya asali ishasepa [emoji2296]
nimeskia wizaran asali ni nzito sio kama halmashauriHv wizara ya viwanda nayo ina asali sana tofauti na wizara nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app