HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu

Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview

lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Hongera Kwa kupata kazi mkuu, hayo ya kuwa mtumishi mwema ni juu yako mwenyewe

ila makubaliano yetu ni yale yale ata kama umepata kazi we endelea tu kupondea Utumishi ili tuendelee kuwa Pamoja

Ukianza tu kusifia/kuongelea mazuri ya utumishi hatutakutambua kama #Abdul tena bali tutakupa jina la Wakala wa utumishi kama ilivo kwa wenzio

Kwahiyo kuwa mwangalifu na uchaguzi wa maneno katika kuchangia hoja zetu sie watu wenye tusio na subira, watu wenye makasiriko na watu wenye husda za kujificha ficha

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aaaaa kabisa mkuu, wewe si ndo upo kwenye ofisi ya kiranja wa nidhamu serikalini... Na jana mmeshabumbulua madudu huko mpaka mama akachafukwa..mimesikia "stupid"[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Tatizo hatua huwa hazichukuliwi.

Sisi kazi yetu ni kuibua madudu na kushauri, kazi kwenu kutekeleza na kuchukua hatua
 
Hongera Kwa kupata kazi mkuu, hayo ya kuwa mtumishi mwema ni juu yako mwenyewe

ila makubaliano yetu ni yale yale ata kama umepata kazi we endelea tu kupondea Utumishi ili tuendelee kuwa Pamoja

Ukianza tu kusifia/kuongelea mazuri ya utumishi hatutakutambua kama #Abdul tena bali tutakupa jina la Wakala wa utumishi kama ilivo kwa wenzio

Kwahiyo kuwa mwangalifu na uchaguzi wa maneno katika kuchangia hoja zetu sie watu wenye tusio na subira, watu wenye makasiriko na watu wenye husda za kujificha ficha

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji38]alooo
 
Hongera sana mwamba,ukawe mtumishi mwema,Mungu ni mwema sana,Wakati wa Mungu ni Wakati sahihi sana.Haijalishi ni changamoto zipi unapitia ila palipo na Juhudi za kupambana Mungu anabariki,Naimani umejionea mwenyewe.Sote tusikate tamaa,Mungu wetu ni mwema sana.
AMEN 🙏🏾, ASANTE SANA MKUU
 
Inaonekana wengi humu tunasubilia mkeka wa mda and lgas..mungu atubaliki tuweze kupata maana hustle ni nying sana kitaa lifu alieleweki..ukiacha mm nano mwingine anasubilia mkeka wa mda na kitengo gan? Mimi binafsi Niko pale kwa economist aisee dude liteme tu
 
Back
Top Bottom