HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanabodi habari ya muda? Nimepata fununu ya kuwa wafanyakazi wa Tanesco waliokuwa na ajira za mkataba waliombewa kibali wakabadilishiwa ajira zao kutoka mkataba kwenda permanent! Je hili lina ukweli wowote?
Sio kweli, nikweli waliombewa kibali ili wapewe ajira permanent lakin walikataliwa, bado wanaendelea kusain mkataba wa mwaka mmoja mmoja.
 
Yenye majina machache kama hii possibility ipo kabisa na mimi naiona ila 1700+ one time placement sina uhakika
Sio yenye machache kwani wanavyoandaa pdf ya call for interview watu hadi buku 3 ndio washindwe PDF la database.

Wakuu tusikubali inabidi tupambanie wote na tudai PDF la database tupost social media mbalimbali hadi imfikie rais tuombe kina mange malisa na wanaharakati kibao watupostie sabab hii ni kuleta tension kwa jobless alaf wanaingia mitini.

Lazima tukubali kuwasagia kunguni na kulalamika had ahad ya waziri aliyosema tuone imetekelezeka
 
Ila jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Mama samia kwenye swala la ajira amejitahidi sana. Sina kipingamizi naye juu ya hilo. Mwaka wake wa kwanza tu kwenye madaraka ametoa ajira nyingi sana kulinganisha na mika minne iliyopita nyuma.
Hali ndo ilikua hivi kipindi cha Kikwete na Mkapa, ilikua ukiwa na degree tu umeshatoboa.

Wazazi wetu wakajibana wakiamini watoto wao wakipata degree kazi imeisha, gafla bin vuuu akaingia CHUMA...

Pongezi kwa mama, anajaribu kuturudisha kwenye mstari.
 
Pdf lingine lini, Jana IT wa psrs aliongelewa kidogo akaachia kumbe na yeye anahusika kweny huu Uzi,
[emoji38][emoji38][emoji38], humu WATUMISHI WA UMMA wapo ndugu. Sijui kama umenielewa hapo kwenye herufi kubwa. Narudia tena humu ndani kuna WATUMISHI WA UMMA. Kaa chonjo aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi habari ya muda? Nimepata fununu ya kuwa wafanyakazi wa Tanesco waliokuwa na ajira za mkataba waliombewa kibali wakabadilishiwa ajira zao kutoka mkataba kwenda permanent! Je hili lina ukweli wowote?

Nadhani waliokupa fununu wanaweza kukupa ukweli zaidi
 
Sio yenye machache kwani wanavyoandaa pdf ya call for interview watu hadi buku 3 ndio washindwe PDF la database
Wakuu tusikubali inabidi tupambanie wote na tudai PDF la database tupost social media mbalimbali hadi imfikie rais tuombe kina mange malisa na wanaharakati kibao watupostie sabab hii ni kuleta tension kwa jobless alaf wanaingia mitini.
Lazima tukubali kuwasagia kunguni na kulalamika had ahad ya waziri aliyosema tuone imetekelezeka
😂😂😂 we jamaa.

Si tumekubaliana database wanachukua kidogo kidogo mahitaji yanapojitokeza?
 
With vivid example hiyo PDF ya database asa kwanini sasa hv hawatak kutoa hizo nafas 1767 za waziri alizosema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vivid example [emoji28]
 
😂😂😂 we jamaa.

Si tumekubaliana database wanachukua kidogo kidogo mahitaji yanapojitokeza?
Umekubaliana na nani hayo siyo maagizo ya waziri mwambie boss wako jobless wanataka PDF la waziri la database na sio kuzugia kwamba wanatoa kidgo
😂😂😂 we jamaa.

Si tumekubaliana database wanachukua kidogo kidogo mahitaji yanapojitokez
 
Back
Top Bottom