Marcellojr
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 305
- 786
Wazee, wale wenzangu best looser wa TRA kama mtu akipata placement sehemu nyingine tuambizane hapa jukwaan wakuu..maana Customs na TMO ukiwaza kutokea kwenye database moja haikai Wala mbili na hapo hujui if uko kwa database au vipi...dah usipime kabisa yan