HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Always Next time,bro nina imani kuna sehemu umeshalamba asali as long as ulifanya oral vizuri...kuna mdogo wangu alikosa sehemu asali na kina mwifa pale akasikitika sana kwa kuamini kuwa alistahili kwa namna alivyojibu,muda ukapita akazoea na maisha yakaendelea,wakaanza kutoka aliofanya nao yy hayupo lkn kaja kulamba asali sehemu ya nyuki wadogo bila kutarajia kabisa.mwisho kakuta placement yake ilikuwa ya muda mrefu tu kumbe muda wote anasononeka barua yake ilikuwa tyr japo mkeka ndio ulikuwa bado.
Thank u champ
 
Mkuu, yule sio mkuu wa Idara. Ni Kaimu Afisa X (Ag. Afisa kitengo flani).
Kwa maelezo yake anasemaga ana Masters ya 'Y', baada ya kuona analamba asali sana kwenye hiyo nafasi hapo Halmashauri sasa anasoma Degree ya ' Y', Open University. Zingatia 'Y' ni same course.
Dooh anataka kubana hadi huko duuh.

Ila mkuu usilalame sana we tafuta tobo lako mahali utusue.

Maisha ya watumishi wengi wa halmashauri kwa nafasi zao sio mazuri sana Yana stress sana sana sana ukipata tundu la Hela yaani unyama unyama tu. Roho mbaya mkononi

Watu wanarogana hadi ofisini, wengine Wanaliwa na wenye ujiko, wengine watambeza rushwa wapate cheo ni vurugu tupu.

So kaza moyo wewe tafuta mahali Pako upige Hela kama jamaa anakufanyia vitini achana nae fitina hazinaga mwisho mzuri
 
Watumishi wa tasisi moja hawawezi kuwa na salary scale tofauti. Labda itokee mtu ulikuwa TRA/eGA ukavuruga ukahamishiwa halmashaurii Kakonko. Hapo utaendelea kulipwa kwa scale yako ya awali utatofautiana na hao uliowakuta Kakonko.
Kuwa na amani mzee ila ukinunua NISSAN DUALIS usininyime lift mimi wa halmashauri
Hahaa ndugu yangu bado sijapata nilikuwa nataka kujua tu, nipo nasuburia nami placement za hizi MDA&LGA sasa nikawa nashindwa kuelewa kwa sababu tangazo la kazi salary scale inasema TSG halafu unakuta mtu kadonolewa huko kapelekwa let say VETA ambao salary scale yao siyo hiyo TSG ndipo hapo nikawa na sintofahamu
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa ndugu yangu bado sijapata nilikuwa nataka kujua tu, nipo nasuburia nami placement za hizi MDA&LGA sasa nikawa nashindwa kuelewa kwa sababu tangazo la kazi salary scale inasema TSG halafu unakuta mtu kadonolewa huko kapelekwa let say VETA ambao salary scale yao siyo hiyo TSG ndipo hapo nikawa na sintofahamu
Veta wanatumia scale gani wao
 
Back
Top Bottom