Ña PSRS pia ipunguziwe majukumu, waachie taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe, alafu wao wapelekewe data TUUfanisi Ufanisi ni Kilio; siku nepotism zikiondoka kwenye hayo mashirika labda utaonekana.
"Kuna taasisi nyingi za serikali zinapeleka maombi katika Wakala wa Huduma za Ununuzi (GPSA) lakini muda mrefu GPSA inachukua,nadhani tuangalie sasa kama kuna haja ya kuendelea kuwa nayo, maana tuliziagiza taasisi zikitaka kufanya manunuzi ziende GPSA lakini GPSA yenyewe haina ufanisi" Mhe. Rais Dkt.
@SuluhuSamia
Hukutaka kuongeza masters boss??Mimi mwenyewe Niko halmashauri miaka 9 Sasa ila nataka kupakimbia.
Na bila masters kuziacha TGS ni ngumu kwa kada yangu[emoji42]
Jamaa nadai taarifa katoa kwenye web, sa sijui web gan hiyo ya utumishi ambayo ameona hiyo taarifa ya pekeakeView attachment 2570044Kitenge anawachora na ramli chonganishi
Kwa Muda huo ungekuwa na CPA Yako ungekuwa na salary scale nzuri Kwa Sasa!Mimi mwenyewe Niko halmashauri miaka 9 Sasa ila nataka kupakimbia.
Na bila masters kuziacha TGS ni ngumu kwa kada yangu[emoji42]
Katiba imepiga marufuku CAG baada ya kustaafu kuajiriwa kwenye Utumishi wa Umma, that is to say Hawezi hata kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi yoyote ile ya kwenye mashirika ya umma,etc.kwa nn ?
Kitenge ni mnene kuliko mabosi zake na haogopiView attachment 2570044Kitenge anawachora na ramli chonganishi
Daaa
Watu wanachomolewa data base mzee wa ila watachanganya kwe pdf mbalimbali au watatoa peke yake haijulikani ila database ipooooofafanua vizuri tuelewe man angu
Naona mwaka jana waliongeza bil kadhaa.Daaahh, kumbe hii speech ilizaa zari letu la kuingia NAOT.
Kuajiriwa watu wenye Taaluma mbalimbali.
Hizi ni za ndani kbsaa au ramli hahahWatu wanachomolewa data base mzee wa ila watachanganya kwe pdf mbalimbali au watatoa peke yake haijulikani ila database ipooooo
Hahahaha we jamaa tuheshimiane basi,hatufahamiani,Mimi nipo jukwaa Huru kusema lolote,Kwa kuwa ni mawazo yangu,sifungwi,ukiona ninachosema kina kukera katika namna Moja au nyingine unaweza pita bila ku comment.We jamaa utakua na asili flani ya unoko unoko hivi, kiranja au monitor mstaafu!
Check number ikitiki unikumbuke hata vocha[emoji19][emoji19][emoji19]Hahahaha we jamaa tuheshimiane basi,hatufahamiani,Mimi nipo jukwaa Huru kusema lolote,Kwa kuwa ni mawazo yangu,sifungwi,ukiona ninachosema kina kukera katika namna Moja au nyingine unaweza pita bila ku comment......
Sasa Mimi nimeongea jambo gani Baya Hapo?? Kusema Kikubwa kuingia kwenye mfumo haijalishi Mshahara gani ni kosa???[emoji2960]
Mwifwa
Liverpool VPN
yesamrich
mfwende sawadogo
Tuko pamoja, nakuombea na wewe PDF likitoka uwepo,Naimani wapambanaji wengi tu tutakula shavu chini ya Serikali ya Mama Yetu Samia, Serikali inayomwaga Ajira kila siku.Check number ikitiki unikumbuke hata vocha[emoji19][emoji19][emoji19]
😷Hahahaha we jamaa tuheshimiane basi,hatufahamiani,Mimi nipo jukwaa Huru kusema lolote,Kwa kuwa ni mawazo yangu,sifungwi,ukiona ninachosema kina kukera katika namna Moja au nyingine unaweza pita bila ku comment......
Sasa Mimi nimeongea jambo gani Baya Hapo?? Kusema Kikubwa kuingia kwenye mfumo haijalishi Mshahara gani ni kosa???🤭
Mwifwa
Liverpool VPN
yesamrich
mfwende sawadogo
Hii ni leo???soma hii champ, then njoo na maoni yako kama nitakua sahihi
mkuu wangu tumia lugha nzuriiWe jamaa utakua na asili flani ya unoko unoko hivi, kiranja au monitor mstaafu!