HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list, hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa.
 
Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list , hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa
Hongera sana. Ahsante kwa kututia moyo pia
 
MUNGU NI MKUU SASA NAMI NIMEONA JINA LANGU KWENYE LIST , HONGERENI MLIOPATA NA WOTE AMBAO HAMJAPATA TUENDELEE KUPAMBANA KWANI MUNGU ANAJIBU KWA WAKATI SAHIHI,, NIKIANGALIA CHANGAMOTO NILIZONAZO KWELI GOD IS THERE NA ANAJIBU TUSIKATE TAMAA
Ukawe mtumishi mwema. Hongera sana
 
MUNGU NI MKUU SASA NAMI NIMEONA JINA LANGU KWENYE LIST , HONGERENI MLIOPATA NA WOTE AMBAO HAMJAPATA TUENDELEE KUPAMBANA KWANI MUNGU ANAJIBU KWA WAKATI SAHIHI,, NIKIANGALIA CHANGAMOTO NILIZONAZO KWELI GOD IS THERE NA ANAJIBU TUSIKATE TAMAA
Hongera kaka
 
Nimejiunga na team database, wale wa selected for oral[emoji28][emoji28][emoji28]

Mara paap nipo Halmashauri ya Mpimbwe Katavi[emoji28]
Karibu jisikie uko nyumbani, huku kwetu hatuna mambo mengi zaidi ya kila unaposikia placement una download unajitafuta..

Huku kwetu tunaishi kwa matumaini, Huku kwetu agenda yetu kuu ni kuhusu tamko la mama Jenista
 
Ña PSRS pia ipunguziwe majukumu, waachie taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe, alafu wao wapelekewe mapungufu
Ña PSRS pia ipunguziwe majukumu, waachie taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe, alafu wao wapelekewe data TU
Niliumia sana nmejikongoja had kweny 73 nilitarget ndo iwe oral yangu ya kwanza baada ya ile ya tra kupigwa ndoige kwa 41 lakin wapi, wengne hatujawah piga oral utumishi aise and i wish tungekua tunaongea lugha 1 saiz kuhusu kucheleshwa kwa placement. Ila all in all ata sisi ambao hatusubiri placement tuko nyuma yenu kuhusu hili la placement kuchelewa.
Ni kweli Account officer ya MDA walipandisha ikawa 76.
 
Nasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu

Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview

lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Huo ndo ushuhuda, sio kila mda watu wanakatishana tamaa na kuiponda psrs, utumishi wapo fair sema wanamapungufu machache kama vile kuchelewesha mchakato wa ajira. Hongera sana
 
Back
Top Bottom