Bambalaga01
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 304
- 646
Nadhani itakua kweli
Kuna position hazipo kwenye tarehe Ila sio za database, ni interview za mwez February, evidence nnazo Ila siwez kuziandika hapa. Hakuna mkeka utaokuja full na majina yote yanayotosheleza nafasi zilizotangazwa mfano MDAs na LGAs kwa post ya Accounting officer II zilikua nafasi 100, usitegemee siku mkeka utatoka wa majina 100, ni mwendo wa kudonoa, na neno data base halitokosekana