HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Expectations kills wandugu we should keep our expectations to the minimum level ili kujiandaa na matokeo halisi mfano watu wa TMO II juzi waliitwa 700 oral na kila mmoja kati yao alikuwa na uhakika kwa kurefer placement iliyopita za TRA lakini sasa kilichokuja kutokea hakuna aliyeamini mpaka sasa.
Sasa hili swala la database tunaweza kusema ni politics on field kwasababu kazi ya database inajulikana
Hawa watapata kz mkuu japo sio wote...ukiona utumishi wanaita oral kwa idadi kubwa ujue kuna nafasi zipo nyingi zinahtji kujazwa
 
Idara Gani

Yeye ana elimu ya kiwango Gani diploma degree au


Huwezi kuwa mkuu wa idara hadi uwe mtumishi kwa miaka 15 consecutively Kwa mujibu wa sheria ukiacha upuuzi ule wa magu
Mkuu, yule sio mkuu wa Idara. Ni Kaimu Afisa X (Ag. Afisa kitengo flani).
Kwa maelezo yake anasemaga ana Masters ya 'Y', baada ya kuona analamba asali sana kwenye hiyo nafasi hapo Halmashauri sasa anasoma Degree ya ' Y', Open University. Zingatia 'Y' ni same course.
 
Hahahaha we jamaa tuheshimiane basi,hatufahamiani,Mimi nipo jukwaa Huru kusema lolote,Kwa kuwa ni mawazo yangu,sifungwi,ukiona ninachosema kina kukera katika namna Moja au nyingine unaweza pita bila ku comment......
Sasa Mimi nimeongea jambo gani Baya Hapo?? Kusema Kikubwa kuingia kwenye mfumo haijalishi Mshahara gani ni kosa???🤭
Mwifwa
Liverpool VPN
yesamrich
mfwende sawadogo
Yap.
Tafuta stepping stone na mengine yatajijua mbele huko.

#YNWA
 
Tuko pamoja, nakuombea na wewe PDF likitoka uwepo,Naimani wapambanaji wengi tu tutakula shavu chini ya Serikali ya Mama Yetu Samia, Serikali inayomwaga Ajira kila siku.
Mungu wetu ni mwema sana.
Sasa check number si MTU anapàta Mara Moja TU 😂
 
Expectations kills wandugu we should keep our expectations to the minimum level ili kujiandaa na matokeo halisi mfano watu wa TMO II juzi waliitwa 700 oral na kila mmoja kati yao alikuwa na uhakika kwa kurefer placement iliyopita za TRA lakini sasa kilichokuja kutokea hakuna aliyeamini mpaka sasa.
Sasa hili swala la database tunaweza kusema ni politics on field kwasababu kazi ya database inajulikana
Mambo mazuri yanakuja kwa watu wa TRA tuendelee kuomba Mungu
 
Expectations kills wandugu we should keep our expectations to the minimum level ili kujiandaa na matokeo halisi mfano watu wa TMO II juzi waliitwa 700 oral na kila mmoja kati yao alikuwa na uhakika kwa kurefer placement iliyopita za TRA lakini sasa kilichokuja kutokea hakuna aliyeamini mpaka sasa.
Sasa hili swala la database tunaweza kusema ni politics on field kwasababu kazi ya database inajulikana
Baada ya kuitwa oral TMO...
Kilichofuata ni tamko la Waziri Mhagama....
Hapa umepata picha Kiongozi yajayo ni Mungu asimame..
Ila TRA kuna office nyingi wamejenga zinahitaji wafanyakazi
 
Back
Top Bottom