HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
"Kufikia hapa tulipo kuna haja ya kufanya tathimini kama baadhi ya mashirika ya umma yanafaa kuendelea kuwa nayo, yale yanayofaa yaendelee na yasiyo na tija yafutwe. Mashirika mengi yanachuma fedha kutoka serikalini lakini yenyewe haileti fedha serikalini" Rais Dkt.
@SuluhuSamia

Unfortunately, vijana wanawaza salaries ndefu za mashirika bila kuwaza nini wao watapeleka huko ili yaendelee kuwa na mchango chanya kwa serikali. Its time serikali kwa kutumia mfumo mpya ya utendaji iwe inafanya demotion ya watendaji na maofisa ya mashirika kurudi halmashauri kuliko kusubiri mashirika haya kufa.
 
Nipo nimejishikiza Halmashauri X, kuna Afisa flani wa Wilaya anakaimu hio nafasi ila yeye professionally ni mwalimu (elimu msingi).
Volunteer mimi ndio nina degree ya hio nafasi yake. Basi jamaa ananiona mimi ni threat kwake. Aisee hakuna rangi naacha ona. Jobless tunapitia mengi sana basi tu walioko PSRS wanaweza kuwa hawatambui hili.
Hua nabaki naangalia na kukubali acha iwe hivo hivo.
Idara Gani

Yeye ana elimu ya kiwango Gani diploma degree au


Huwezi kuwa mkuu wa idara hadi uwe mtumishi kwa miaka 15 consecutively Kwa mujibu wa sheria ukiacha upuuzi ule wa magu
 
Sasa hao walimu hasa idara ya msingi ndio wachawi na wanoko balaa. Kuna halamashauri nilikuepo ina kaimu mkuu wa idara fulani, yaani yule jamaa hata degree hana. Kibaya zaidi asipokuwepo ofisi inafungwa. Akiskia kuna mtu ana qualificafions kama zake kazi unayo.
Aseee achana kabisa na TGS D halmashauri.
Huwezi kuwa mkuu wa idara kama huna shahada.

Kwa maafisa wote wa elimu wa shahada siku hizi na lazima uwe na barua ya tamisemi
 
Lakini huu ushauri kumpa kijana ambaye hana hata mia hana kazi ameelemewa mzigo wa majukumu ni ngumu sana kukuelewa huu ushauri unawafaa wenye mahali wamejishikiza na wanaishi fresh.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Ndio maana hapo juu NIMEANDIKA "Halmashauri iwe Your stepping stone ila sio DESTINATION""

#YNWA
 
Kikubwa kuingia kwenye mfumo tu haijalishi Mshahara gani,hakuna mfanyakazi Tajiri kupitia Mshahara,ukitaka kuwa hivyo lazima uwe mwizi na ambapo hutadumu kazini,Kikubwa ingia jiongeze Kwa kufanya vitu vingine vya ziada.
- wafanyakazi matajiri kupitia mshahara ni Rais,Makamu wa Rais, Waziri mkuu,Jaji mkuu, mkurugenzi wa nmb, mkurugenzi wa crdb, mkurugenzi wa ewura, Gavana wa bot,spika, mkurugenzi wa latra, mkurugenzi wa tpdc, mkurugenzi wa eGA, mkurugenzi wa TCRA, mkurugenzi wa kcb, mkurugenzi wa equity bank, mkurugenzi wa nssf, mkurugenzi wa psssf nk
 
Back
Top Bottom