Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
AI amenijibu hivi kuhusu swali la uzi huu. Nilikuwa nachati naye huko TelegramView attachment 2569203View attachment 2569204View attachment 2569205
Hakuna hata jibu hapo hana utofauti na mwanasiasa. Mkishafanya oral kinachobaki ni placement ambapo ufaulu wa wasaili wanao tayari. Mpaka mtu anaitwa kuanza usail tayari ameshaangaliwa na kuonekana ni bora. Katoa maneno mengi yote siasa tu