HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hiyo taarifa umeitoa wapi mkuu?mbn kwenye web haionekani hyo taarifa?
soma hii champ, then njoo na maoni yako kama nitakua sahihi

Screenshot_20230329-151742.png
 
Ufanisi Ufanisi ni Kilio; siku nepotism zikiondoka kwenye hayo mashirika labda utaonekana.

"Kuna taasisi nyingi za serikali zinapeleka maombi katika Wakala wa Huduma za Ununuzi (GPSA) lakini muda mrefu GPSA inachukua,nadhani tuangalie sasa kama kuna haja ya kuendelea kuwa nayo, maana tuliziagiza taasisi zikitaka kufanya manunuzi ziende GPSA lakini GPSA yenyewe haina ufanisi" Mhe. Rais Dkt.
@SuluhuSamia
 
wasagie kunguni mkuu
 
Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.

Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.

TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.

HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil

Wapi njaa?

#YNWA
Mimi mwenyewe Niko halmashauri miaka 9 Sasa ila nataka kupakimbia.

Na bila masters kuziacha TGS ni ngumu kwa kada yangu[emoji42]
 
Hii hatari tupu mtu kazi hujapata ushaanza kuwaza mshahara, na kuikosoa mengine unawaza Ile minono hatari kubwa sana ni mambo Ya ovyo yatakayoenda kufanyika uko maofisin yaan unaanza kuonekana mwizi akati Bado unalisaka tonge, Kuna baadhi ya wasomi ovyo kabisa
 
NAOT achana nao kabisa, katika taasisi ambazo staff wake hawategemei mishahara basi moja wapo ni NAOT, hata staff wa tra anaweza asitie maguu kwa NAOT, naongea from experience sio story za vijiweni, NAOT auditor asie CPA(T) anaanza na salary ya 700,000+ ila kila kaz kwake ni extra duty, hapo hajaenda field kwenye audit. Ogopa ofisi ambayo haifanyiwi audit. Ndomana mtu pekee baada ya kustaf au kuacha kaz au kuondolewa kazin hawez Fanya kaz kwenye ofisi yeyote ya umma ni CAG
kwa nn ?
 
Back
Top Bottom