HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna mtu aliwahi simamishwa kazi miaka 5+ kisa alienda kusoma phD, akatengwa ofisi na kisha madiwani wakaazimia kutorudisha madai yake kwa miaka yote hiyo. Ukiwa halmashauri na madiwani wakiazimia huku mkurugenzi kashikwa maskio, wafwaaa...
Hatari sanaa, huku uchawi una play part sanaa inaonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SasA Muzee , unapo chuku mtu kutoka kwenye database inabidi uonyeshe oral aliombea wapi ,pass marks zake ni ngapi , na SS tunapenda kumpeleka taasisi Fulani wanamuhitaji ,

Na sio kupachika TU mtu ,pasipo kujua alitokea wapi ,Alafu unasema huyo from database, hili aijaka sawa ,bao la mkono linaweza tumika hapa

Psrs lazima muwe transparency, mambo ya Siri, Yana leta wasiwasi sana kwetu ss
Msiwe na wasiwasi si kuna checks and balance jamani.Kina Mwifwa(Naot) si wanafanya audit za mambo mbalimbali kila mwaka kwenye taasisi za umma?halikadhalika Tume ya utumishi wa umma nao si wana audit mambo ya utumishi wa umma. Relax system haiwezi kukosa transparency bhana. Au umesahau ile sentensi government of the people by the people and for the people.Unawakilishwa tu na vyombo mbalimbali lkn ni wewe
 
Mkuu mfwende sawadogo unawafahamu watu wanaitwa Baraza la madiwani? Basi kwenye TGS D hapo halmashauri hao watu ni hatari sana.
Kataa TGS D ya halmashauri
Nipo nimejishikiza Halmashauri X, kuna Afisa flani wa Wilaya anakaimu hio nafasi ila yeye professionally ni mwalimu (elimu msingi).
Volunteer mimi ndio nina degree ya hio nafasi yake. Basi jamaa ananiona mimi ni threat kwake. Aisee hakuna rangi naacha ona. Jobless tunapitia mengi sana basi tu walioko PSRS wanaweza kuwa hawatambui hili.
Hua nabaki naangalia na kukubali acha iwe hivo hivo.
 
Back
Top Bottom