HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaaani TGS inaonekana kuwa ni njaa vijana mna uhakika mnayajua maisha kweli? Any way tuendelee kula mtori
Vijana wanaiongelea TGS unaweza ukadhan ndo salary scale waliopo, kumbe wanaongea story za kwenye vijiwe vya kahawa. Mitaani tunaishi na watumishi wengi wa TGS kuliko hata watumishi wanaotumia scale tofauti kulingana na taasisi zao na tunashuhudia mambo makubwa ya maendeleo wanayofanya.

Wote hatuwez kufanya kazi TRA, TCRA,TMA, BOT etc. Juz kat kuna staff wa tra kafukuzwa kaz Kisa kuiba office equipments
 
Yaaani TGS inaonekana kuwa ni njaa vijana mna uhakika mnayajua maisha kweli? Any way tuendelee kula mtori
Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.

Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.

TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.

HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil

Wapi njaa?

#YNWA
 
Shida vijana wanataka waanze kazi na mishahara kama ya BOT,EWURA,TASAC NA EGA mi nimekutana na kitu cha tgs na nimekubali na maisha yatasongo bora kitu kuliko kukosa kitu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Vijana wanaiongelea TGS unaweza ukadhan ndo salary scale waliopo, kumbe wanaongea story za kwenye vijiwe vya kahawa. Mitaani tunaishi na watumishi wengi wa TGS kuliko hata watumishi wanaotumia scale tofauti kulingana na taasisi zao na tunashuhudia mambo makubwa ya maendeleo wanayofanya. Wote hatuwez kufanya kazi TRA, TCRA,TMA, BOT etc. Juz kat kuna staff wa tra kafukuzwa kaz Kisa kuiba office equipments

Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.

Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.

TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.

HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil

Wapi njaa?

#YNWA
 
Shida vijana wanataka waanze kazi na mishahara kama ya BOT,EWURA,TASAC NA EGA mi nimekutana na kitu cha tgs na nimekubali na maisha yatasongo bora kitu kuliko kukosa kitu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.

Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.

TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.

HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil

Wapi njaa?

#YNWA
 
Ulianza kwa kuikanda ofisi ya CAG au NAOT ndo nikapata wasiwasi juu ya uelewa wako wa mambo. Point yangu sio halmshauri zote zina njaa
TGS ukiwa Halmashauri ni njaa.
Hata hizo kubwa si watumishi wotee wanafaidi hizo posho.

TGS ni njaa.

Huwa nawaambia vijana, njoo halmashauri ukiwaza kuondoka.

Halmashauri ni stepping stone ila sio destination.

#YNWA
 
Mi mwenyewe nipo halmashauri kumbe shida ni halmashauri uliyopo, then tatizo sio TGS hata hazina account officer asie na CPA anaanza na 745,000 ila uliza kati ya brela na hazina wapi njaa
Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.

Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.

TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.

HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil

Wapi njaa?

#YNWA
 
Mi mwenyewe nipo halmashauri kumbe shida ni halmashauri uliyopo, then tatizo sio TGS hata hazina account officer asie na CPA anaanza na 745,000 ila uliza kati ya brela na hazina wapi njaa
Usidanganye vijana..
Katika ofisi ambazo sio za kufanya Kazi ni TAMISEMI yaani mkoani na Halmashauri.

Kuna undezi mwingi sanaaa huku njaa juu.

Mabosi kibao, maagizo kibao mambo, MAMBO VURURU VURURUU.

Halmashauri hakujawahi kueleweka.

#YNWA
 
Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.

Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.

TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.

HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil

Wapi njaa?

#YNWA
Kumbe brela mna mzinga kabisa duh
 
Usidanganye vijana..
Katika ofisi ambazo sio za kufanya Kazi ni TAMISEMI yaani mkoani na Halmashauri.

Kuna undezi mwingi sanaaa huku njaa juu.

Mabosi kibao, maagizo kibao mambo, MAMBO VURURU VURURUU.

Halmashauri hakujawahi kueleweka.

#YNWA
Sasa watu wote wakiondoka huko halmashauri nani atafanya kazi...kikubwa kila mtu ana fungu lake na vijana tujifunze kuridhika...hakuna mwanadamu asipenda kupata pesa nyingi lakini kila mtu ana fungu lake ww kama lako ni halmashauri ridhika maisha yasonge
 
Kuridhika ndio chanzo cha UMASIKINI.

Marufuku kukata tamaa.

Hata Mimi Nina barua yangu DED hataki kusaini ili niondoke, ila asichojua nitaondoka tu ATAKE ASITAKE.

#YNWA
 
Inajadiliwa kwenye wizara gan???
Umeuliza vizuri sana.

Inajadiliwa kwenye Wizara ya Fedha.

Mfano hapo Waziri anapendekeza Ofisi ya CAG iongezewe fedha.

Screenshot_20230329-112847.jpg
 
Sasa watu wote wakiondoka huko halmashauri nani atafanya kazi...kikubwa kila mtu ana fungu lake na vijana tujifunze kuridhika...hakuna mwanadamu asipenda kupata pesa nyingi lakini kila mtu ana fungu lake ww kama lako ni halmashauri ridhika maisha yasonge
Kuna Jamaa yangu yeye ndio anapataka huko Tamisemi.
Anakuambia hataki mjini kabisa.

Sio wote hawataki kufanya kazi Halmadhauri. Wengine wanataka na wanaridhika.
 
Back
Top Bottom