mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,003
- 2,294
Nimeambiwa nitume vyeti kwenye taasisi ( Nafasi ilikuwa Tutorial assistant)baada ya kufanya oral utumishi hii inamaana nimepata kazi? Mwenye uzoefu na hilo naomba msaada
Andaa suti mkuu,
Ni hatua nzuri hyo uliyofikia.