HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Huu uzi umeshaanzaa kua wakuvunja watu moyo na sio kutia watu moyo humu kuna vijana weng wanasubir placement kutoka huko MDA & LGA na huko ndiko hizo TGS ilipo sana Asa mtu akipita akaona comments za watu kuhusu hizo TGS mtu anaanza kupooza moyo shauku yote ya kupata placement inakata

Wazee TGS sio mshahala mdogo kama mnadhanii au kusikia story za vijiweniii

Sio watu wote tutapata kaz TRA BOT EWURA EGA nk......
 
Huu uzi ni akili kumkichwa mkuu.

9043e95e6080825bb0d01ec4ea8137bd.jpg
 
Huu uzi umeshaanzaa kua wakuvunja watu moyo na sio kutia watu moyo humu kuna vijana weng wanasubir placement kutoka huko MDA & LGA na huko ndiko hizo TGS ilipo sana Asa mtu akipita akaona comments za watu kuhusu hizo TGS mtu anaanza kupooza moyo shauku yote ya kupata placement inakata

Wazee TGS sio mshahala mdogo kama mnadhanii au kusikia story za vijiweniii

Sio watu wote tutapata kaz TRA BOT EWURA EGA nk......
Ni kweli kiongz, watu wanadharau sana yaan kupata TGS ni kama laana.

Huo nao ni ulimbukeni na ajabu ukienda kumuona anayeongea sanaa hata pesa ya mihogo asbh inampiga chenga.
 
Huu uzi umeshaanzaa kua wakuvunja watu moyo na sio kutia watu moyo humu kuna vijana weng wanasubir placement kutoka huko MDA & LGA na huko ndiko hizo TGS ilipo sana Asa mtu akipita akaona comments za watu kuhusu hizo TGS mtu anaanza kupooza moyo shauku yote ya kupata placement inakata

Wazee TGS sio mshahala mdogo kama mnadhanii au kusikia story za vijiweniii

Sio watu wote tutapata kaz TRA BOT EWURA EGA nk......
Point kubwa sana, kingine jobless waangalie maisha ya waajiriwa waliopo wengi wanaowazunguka
 
Sisi wengne tumekua kweny familia ambazo wazazi mishahala yako ipo huko kweny TGS lakin tumesoma shule nzuriiii , tumeishiii vizur mpaka tunakua na hakuna siku tumelala njaa nyumbaniiii
Watu waniongelea TGS utadhani inalaana kumbe mostly wanaongelea story za kuambiwa
 
Back
Top Bottom