HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nipo nimejishikiza Halmashauri X, kuna Afisa flani wa Wilaya anakaimu hio nafasi ila yeye professionally ni mwalimu (elimu msingi).
Volunteer mimi ndio nina degree ya hio nafasi yake. Basi jamaa ananiona mimi ni threat kwake. Aisee hakuna rangi naacha ona. Jobless tunapitia mengi sana basi tu walioko PSRS wanaweza kuwa hawatambui hili.
Hua nabaki naangalia na kukubali acha iwe hivo hivo.
Sasa hao walimu hasa idara ya msingi ndio wachawi na wanoko balaa. Kuna halamashauri nilikuepo ina kaimu mkuu wa idara fulani, yaani yule jamaa hata degree hana. Kibaya zaidi asipokuwepo ofisi inafungwa. Akiskia kuna mtu ana qualificafions kama zake kazi unayo.
Aseee achana kabisa na TGS D halmashauri.
 
Ukimshauri kitu cha kitaalamu anakuona mchawi na atakubania hata vifursa vidogovidogo
 
Sasa hao walimu hasa idara ya msingi ndio wachawi na wanoko balaa. Kuna halamashauri nilikuepo ina kaimu mkuu wa idara fulani, yaani yule jamaa hata degree hana. Kibaya zaidi asipokuwepo ofisi inafungwa. Akiskia kuna mtu ana qualificafions kama zake kazi unayo.
Aseee achana kabisa na TGS D halmashauri.
Kufunga ofisi mara nyingi huwa anataka kuficha madudu yake. Dili za halmashauri ndio hizo za msimu
Mfano ujenzi wa madarasa au zahanati na kukarabati barabara na ushuru wa masoko
 
Sasa hao walimu hasa idara ya msingi ndio wachawi na wanoko balaa. Kuna halamashauri nilikuepo ina kaimu mkuu wa idara fulani, yaani yule jamaa hata degree hana. Kibaya zaidi asipokuwepo ofisi inafungwa. Akiskia kuna mtu ana qualificafions kama zake kazi unayo.
Aseee achana kabisa na TGS D halmashauri.
Hata hapo nilipo yupo mtumishi wa aina hii. Halmashauri kuna shida sana ila tutafanyaje sasa na hatujafanikiwa kuingia kwenye system, inabidi tukubaliane na hali.
 
Yaani hiki ndio kitu cha ajabu kabisa. Mkuu wa idara unanywea kwa diwani.
Kuna siku niliandaa report ambayo mimi ndiye nilienda kwenye tukio flani (yeye hakuepo wilayani). Aliporudi akakuta nakala 1 pale mezani (zingine kwa DC, DSO, DED, OCD nilikuwa bado sijapeleka), akaisoma mara kadhaa kadhaa kisha akawa ame-stuck kwenye page ya mwisho yenye jina na sahihi yangu. Lengo lake kumbe lilikuwa abadilishe jina langu aweke lake (aliniomba soft copy). Mkuu wa Divisheni akamwambia acha hivo hivo kwasababu aliyeenda sio wewe. Jamaa alikubali kishingo upande ila cha moto nilikiona [emoji3][emoji3]. Kukatokea kuna vikao vi-4 ndani ya siku 1, aliingia vyote peke yake. Anasaini hiki anadanganya amepata emergency kumbe anaenda kingine anasaini pia hivo hivo. Nikasema duh kazi ipo.
 
Mbona kama uko wilaya moja hivi kanda ya ziwa mkuu😹
 
Teh teh teh 😂😂😂 kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom