HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Weka link ya huo uzi mkuu.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Usidanganye vijana..
Katika ofisi ambazo sio za kufanya Kazi ni TAMISEMI yaani mkoani na Halmashauri.

Kuna undezi mwingi sanaaa huku njaa juu.

Mabosi kibao, maagizo kibao mambo, MAMBO VURURU VURURUU.

Halmashauri hakujawahi kueleweka.

#YNWA
Lakini huu ushauri kumpa kijana ambaye hana hata mia hana kazi ameelemewa mzigo wa majukumu ni ngumu sana kukuelewa huu ushauri unawafaa wenye mahali wamejishikiza na wanaishi fresh.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Lakini huu ushauri kumpa kijana ambaye hana hata mia hana kazi ameelemewa mzigo wa majukumu ni ngumu sana kukuelewa huu ushauri unawafaa wenye mahali wamejishikiza na wanaishi fresh.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tatizo watu wanaruka stage kikubwa upate ajira then hayo mambo ya mishahara utajua mbeleni.

Siku hz maisha yamebadilika watu hawategemei kitu kimoja ukipata hiyo tgs unafanya maisha unajitegemea unatafuta plan B ili ufike unapopataka na Mungu ndiye anayejua kesho yetu unaweza ukawa na mshahara mdogo ukautumia huohuo kama starting point kuelekea kwenye mafanikio yako.

Vijana hebu tupambanie utumishi wamwage placement na database tutoke kwenye ujobless
 
Nimegundua hum ndani watoto ni wengi sana wanaoishi kwa story za kusikia kwenye vijiwe vya kahawa, hata halmashaur sio kote kwenye njaa kama inavyoongelewa, nenda hamshauri zenye mapato mengi kama Mafinga city au mufindi, ilala, nyamagana na nyinginezo uone balaa lake. Angalia hata mfanyakaz wa Hazina tu ambao nao wanatumia TGS uone kufulu, hapo nazungumzia mishe halali sio magumashi
Mkuu tunakuhitaji sanaa humu, uendelee kututia moyo kuna vijana waeshakuwa desperate kabisa kutokana na stories za kughushi kuhusiana na tgs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom