HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera mkuu kwa kuingia kwenye pipa la asali.

Sikua jukwaan nina SIKU kadhaa, hivyo nakutakia mwanzo mzuri katika maisha yako mapya ya Utumishi wa Umma.

Ukawe mtumishi mtiifu kwa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu za kazi yako.

Mwisho, usisahau kutoa Shukrani kwa mafanikio hayo na pia pata muda kwa ajili ya kujipongeza kwani haikuwa rahisi.
Mimi huwa napenda Kujifunza siku zote,baada ya kwenda DODOMA na kupata Fursa ya Kuongea nao,nilielezwa mengi,ndio maana ninachoongea hapa nimekifanyia Utafiti,tusipende sana kulaumu,kila Taasisi huwa haikosi changamoto,ndio maana Hata wewe Hapo ulipojishikiza Kuna changamoto pia,ila nakujua ni mjengaji mzuri sana wa hoja,nadhani tuendelee Kujifunza ipo siku kila Mmoja wetu atakuja kuwasifia PSRS Kwa kazi Yao nzuri.....

Kama ni mtu wa kukata tamaa basi ningekuwa Mimi,Toka 2017 ,nikapigwa vyombo vya ulinzi vyote,lakini matumaini yakawa PSRS ambako Sina hata connection Wala ninayemjua na ndio nimekomaa nao mpaka kufanikiwa,Tena nimepigwa saili nyingi tu Written,oral ya kwanza ndio kazi.Mimi ukisema nikupe shuhuda nitasema PSRS ndio mkombozi wetu....

Mimi nipo hapa kutiana moyo na vijana wenzangu,hakuna mahali nishawahi mkatisha tamaa mtu,zaidi ya hata kutag kuuliza placements tu,Kikubwa Mimi naona tupende Kujifunza,na tuzidi kupeana ABC za kufanikiwa kama vijana,maana kama Database ipo itatoka tu,na wameshaanza kuchomoa Majina mengi tu,Kikubwa kuomba Kufikiwa tu.

Kama kuna mtu nitakuwa nimemkwaza Kwa kutoa maoni yangu basi naomba anivumilie.
 
Usichokijua ndugu ni kwamba wanasiasa jambo lao ni moja

Anachoongea waziri anamwakilisha Mh rais. Na pengine madhaifu huwa ni ya kiongozi mkubwa ila kwenye mikutano na media anawasema VIONGOZI wa chini ili kutuliza wananchi.

Amini hivyo, hao si wakuaamini hata kidogo. Mwanasiasa alisema nje kuna giza toka ujithibitishie mwenyew.
KwA hiyo PSRS munasena Raisi Samia ni amemtuma waziri kusema uongo,ili isaidie nn ss
 
Wakati mwingine unaangali tu wewe binafsi uko kwenye nafasi ipi kati ya unemplyoed na jobless. Ukiwa jobless usichague kazi provided kwamba ni halali na umeipata basi ridhiki yako ipo hukohuko. Ni ukweli usiopingika baadhi ya taasisi zinalipa vizuri lakini lazima uliangalie kwa mapana possibility ya kupata kwako wewe binafsi na sio mkumbo wa watu la sivyo you will run out of time na graduate kila mwaka wanaongezeka, hakunaga mshahara unaotosha lkn huohuo unaoupata ndio ridhiki yako kwasababu hatuwezi jobless woote tukaajiriwa BOT, na pia wapo wenye maendeleo hapo hapo halmashauri kikubwa kwanza KAZI UIPATE ndio hoja zingine zifuate la sivyo ni kheri kupambana kwasababu muda unaenda na wasomi ni wengi na kila mmoja wetu Mungu kampangia atafanya kazi wapi kwa wakati gani mpk gani, kwahiyo tupambane tuingie kwanza kwenye system halafu ndio tuchague.

NASHAURI TU WADAU WANGU WA NGUVU.
Pamoja mkuu
 
Ugumu uko wapi boss kama mtu amesoma accounting?
Database huwa inakua inarelate na ulichofanyia oral interview sio ulichosomea. Na sio wote wamesoma Accounting, kuna waliosoma Tax, custom etc. Accounting huwa inarelate na watu waliofanya interview ya Auditing. Mtu aliefanya interview ya auditing ni possible akajapata kaz kupitia database kwenye post ya Accounting lakin wakat huo huo mtu aliefanya interview ya Accounting kupata post ya auditing ni ngum( all auditors are Accountant but not all Accountants are auditors. Hii imetokea sana kwa watu waliofanya interview za NAOT kuna pata post za Accountants kupitia database na sio watu waliofanya interview za Accountant kuja pata post za auditors
 
Kumbuka kwenye interview uliulizwa maswali yanayohusiana na Tax na sio Accounts
 
Database huwa inakua inarelate na ulichofanyia oral interview sio ulichosomea. Na sio wote wamesoma Accounting, kuna waliosoma Tax, custom etc. Accounting huwa inarelate na watu waliofanya interview ya Auditing. Mtu aliefanya interview ya auditing ni possible akajapata kaz kupitia database kwenye post ya Accounting lakin wakat huo huo mtu aliefanya interview ya Accounting kupata post ya auditing ni ngum( all auditors are Accountant but not all Accountants are auditors. Hii imetokea sana kwa watu waliofanya interview za NAOT kuna pata post za Accountants kupitia database na sio watu waliofanya interview za Accountant kuja pata post za auditors
So niliyefanya post ya auditor II naweza kuchaguliwa accountant II?
 
Back
Top Bottom