HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mshahara utakaostaafia halmashauri ndio kijana wa TRA anaanza nao kazi fresh akiwa hana mke wala mtoto.
Wakati mwingine unaangali tu wewe binafsi uko kwenye nafasi ipi kati ya unemplyoed na jobless. Ukiwa jobless usichague kazi provided kwamba ni halali na umeipata basi ridhiki yako ipo hukohuko. Ni ukweli usiopingika baadhi ya taasisi zinalipa vizuri lakini lazima uliangalie kwa mapana possibility ya kupata kwako wewe binafsi na sio mkumbo wa watu la sivyo you will run out of time na graduate kila mwaka wanaongezeka, hakunaga mshahara unaotosha lkn huohuo unaoupata ndio ridhiki yako kwasababu hatuwezi jobless woote tukaajiriwa BOT, na pia wapo wenye maendeleo hapo hapo halmashauri kikubwa kwanza KAZI UIPATE ndio hoja zingine zifuate la sivyo ni kheri kupambana kwasababu muda unaenda na wasomi ni wengi na kila mmoja wetu Mungu kampangia atafanya kazi wapi kwa wakati gani mpk gani, kwahiyo tupambane tuingie kwanza kwenye system halafu ndio tuchague.


NASHAURI TU WADAU WANGU WA NGUVU.
 
kama tu waziri alidanganya umma wataajiri watu 1760 kutoka database tena bungeni ila hadi leo imebaki story utadhani database ya waliofaulu usaili haina watu.

Raisi samia Tunaomba ufute na uondoe hu mfumo wa PSRS hauna tija wala hausaidi watoto wa maskini baadala yake unaumiza wengi na wengi hutumia garama mingi kufuata usaili. japo wengi wanafaulu ila inaonekana database haina maana tena.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app

Usichokijua ndugu ni kwamba wanasiasa jambo lao ni moja

Anachoongea waziri anamwakilisha Mh rais. Na pengine madhaifu huwa ni ya kiongozi mkubwa ila kwenye mikutano na media anawasema VIONGOZI wa chini ili kutuliza wananchi.

Amini hivyo, hao si wakuaamini hata kidogo. Mwanasiasa alisema nje kuna giza toka ujithibitishie mwenyew.
 
Yesamrich ingia serikalini halafu ndio utajua figisu zilizokuwepo. Upo Kibondo Afisa biashara mko watatu wilaya nzima halafu unapeleka kibaruà chako cha kuhamia BOT. Inabidi uwe na mganga mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hapo lazima afunge na kuomba au amtafute yule jamaa aliyemuambia ana-connection na mtu anayefanya kazi mortuary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara utakaostaafia halmashauri ndio kijana wa TRA anaanza nao kazi fresh akiwa hana mke wala mtoto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mkuu unaongea ile kweli tupu...just imagine mtu anaenda kuanza na 2.3M yaani anaanza tuu alishapitiza hadi kwenye 2M hiyo ni asali tamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom