Ndugu zangu nawaombea wote mpate Ajira,ila tusipende sana kuongea vitu tusivyo kuwa na uhakika navyo, Tuombeane Kheri siku zote...
PSRS wapo sanaa,tujipange tu na Tumuombe Mungu,ila jamaa wanafanya kazi nzuri sana,Mimi naona Sisi wakandwaji tu ndio tunshindwa kujipanga vizuri....
Mleta Uzi Kashapata kazi,Na ni baada ya kukosa kadhaa,ila hakukata tamaa,alikuja hapa baada ya Oral,lakini baadae akapambana na Sasa yupo kwenye Utumishi wa Umma,kama mngekuwa mnajua lengo la Uzi mpaka Sasa tulipofikia basi ingebaki kupeana mbinu za kufaulu usaili wa PSRS....
Tuwe na hekma siku zote,kama una uwezo wa kwenda usaili wewe nenda,huwezi jua Lini Mungu atakupangia au atakupa kazi.