HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Niwaambie tu madogo wote mtakaopata wenyewe mnaita asali kwa upande wa TGS. Scale ya mwisho ni TGS H kama 2.3M. Na utafika hapo baada ya miaka 17 kazini. Wakati huko kwengine hiyo ni salary ya kuanzia
[emoji23][emoji23], the world is not fair at all. Yani kuna jamaa unakuta ameajiriwa kwenye sekta binafsi anakunja 5M na bado amepewa na Gari+wese+free service, health insurance +nyumba na ni bwana mdogo tuu let say ana 32yrs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vumilieni tu hata waliopata walivumilia pia sio kwamba wao hawakupitia huko kikubwa PSRS haki ipo tena ya kutosha sana, narudia tena PSRS ndio mkombozi mkubwa sana sana, cha ajabu wengi wetu tunalielewa hili kutokana na shuhuda za wenzetu au sisi wenyewe, tuvumilie mazuri yatamfikia kila mmoja aliethubutu na anaendelea kuthubu, tambua kuwa wakati wa MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI.
Unawasifia UTUMISHI Kwa sababu umepata kazi UTUMISHI psrs, ulitakiwa ukae kimya Kwa sababu ya conflict of interest.
 
Muhimu kuingia kwenye system then tukifika huko tutapambana kupata greener pasture,yani haina kupoa[emoji1787]

I have a friend ambae kalamba asali juz juz,sahivi anakusanya nondo za taxation TRA ikijichanganya tu anaikanda anahamia huko.
Haya mambo bhana, umenikumbusha juzi hapa..

Kuna jamaa walikua wamefanya oral za tamisemi pamoja na MOI, Tamisemi wakawahi kuita kazini wakawa wamepata wakaenda.

Haukupita muda MOI wakatoa wakawa wamepata pia, wakaanza kuhangaika na Tamisemi wawape ruhusa waende MOI . .pambana kila namna ngoma imebuma na mwisho MOI wameita tena kutoka database kujaza nafasi zao
 
Kwann wakataliwe sasa
 
Labda kwakua ilikua mapema bado hawakuwaandaa mtu wa kureplace,maybe wakikaa kama mwaka hivi wanaweza kuwaruhusu(kama watakua wamepata asali nyingine)
Usije ukajidanganya umepata taasisi X ukareport, baada ya mda ukapata taasisi Y af uhamie tu kizembe zembe, sio rahisi kabisa kama unavyodhania.....japo inawezekana ila possibility ya kukosa vyote ipo nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom