HapanaHivi nafasi za T.A ukiomba na una gpa below 3.5 utataitwa kwenye usaili?
HapanaHivi nafasi za T.A ukiomba na una gpa below 3.5 utataitwa kwenye usaili?
Huwezi kuitwa hata ikitokea umeitwa kimakosa huwezi kuingia kwenye chumba cha interview huwa wanakagua GPA mlangoniHivi nafasi za T.A ukiomba na una gpa below 3.5 utataitwa kwenye usaili?
Mfumo tu utakutema hata RECEIVED hufikiHivi nafasi za T.A ukiomba na una gpa below 3.5 utataitwa kwenye usaili?
Watu hela zenu wanajengea maghorofa ununioBarua tarehe 8-Feb-2023, tangazo tarehe 20- March- 2023–tushaliwa mishahara ya 2 months…hahahahah
Huwezi kuitwa aiseee.Hivi nafasi za T.A ukiomba na una gpa below 3.5 utataitwa kwenye usaili?
Songa mbele tuu huwezi jua labda barua zilikwama njiani.[emoji1][emoji1][emoji1]..kikubwa asali ushapata.Barua tarehe 8-Feb-2023, tangazo tarehe 20- March- 2023–tushaliwa mishahara ya 2 months…hahahahah
Wewe ni mtumishi wa Umma,kufanya hivi ni Makosa ujue,unapostije document kama hiyo ya Siri mitandaoni.....Barua tarehe 8-Feb-2023, tangazo tarehe 20- March- 2023–tushaliwa mishahara ya 2 months…hahahahah
Kwanini na mfumo unakubali Mimi ku apply?
Ngoja nijaribu mfumo unakubali.Mfumo tu utakutema hata RECEIVED hufiki
Wewe jamaa upo kukatisha watu tamaa,wewe unataka kila mtu afanye kazi TRA,watu wangapi wanafanya kazi halmashauri na wana maisha mazuri tu,unaweza kupewa mshahara mkubwa na ukazidiwa na mwenye mshahara mdogo.kama wewe umekaa miaka tisa umeshindwa kupiga hatua na ni mfanyakazi wa serikali wa TGS ni wewe lakini sio kukombine kuwa mshahara hautoshi ilihali mjini huku wa wahindi watu na degree zao wanalipwa laki tatu na maisha yanasonga na hawana assurance ya kazi zao.Yesamrich ingia serikalini halafu ndio utajua figisu zilizokuwepo. Upo Kibondo Afisa biashara mko watatu wilaya nzima halafu unapeleka kibaruà chako cha kuhamia BOT. Inabidi uwe na mganga mzuri
Shida inakuwa hapo mrundikano wa barua ambazo Katibu anatakiwa kusaini anachelewa kuzipitisha labda majukumu mengi ya kazi !!!Barua tarehe 8-Feb-2023, tangazo tarehe 20- March- 2023–tushaliwa mishahara ya 2 months…hahahahah
kosa kubwa umefanya champ, usiposti document za gavoo onlineBarua tarehe 8-Feb-2023, tangazo tarehe 20- March- 2023–tushaliwa mishahara ya 2 months…hahahahah
maneno ya faraja kwa cc wasaka ajira, tuzidi kujipa imaniBoss kaingia [emoji117] .....PSRS walikuwa wanasubiri kibaliWaachie Pdf la1700+
Waweke electronic signature.Shida inakuwa hapo mrundikano wa barua ambazo Katibu anatakiwa kusaini anachelewa kuzipitisha labda majukumu mengi ya kazi !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mtumishi wa Umma,kufanya hivi ni Makosa ujue,unapostije document kama hiyo ya Siri mitandaoni.....
Watatoa kiongozi.....Humu walipiga kelele kuhusu wanamuangusha Mama(rais) afanye change akafanya....maneno ya faraja kwa cc wasaka ajira, tuzidi kujipa imani
Amen...Watatoa kiongozi.....Humu walipiga kelele kuhusu wanamuangusha Mama(rais) afanye change akafanya....
Na kuna mtu alisema aliongea na PSRS wakamwambia hawajapokea agizo sasa kawasili N/w tuwe wapole uku tukichochea moto kwa speed kubwa...Sema kitendawili kipo haki itakuwepo kwa hilo Pdf...
Turudi mbele zake Bwana tuzidi kusali na kuongeza received utumishi maana Bwana hatatuacha kamwe....!
Kiongozi...watu wanaishi per diem kaziniWaweke electronic signature.