yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
Thank u boss23/11
Thank u boss23/11
dah kumbe na wewe ni mkongwe kama mimi, umenikumbusha enzi za DUCE.nafikiri ni hicho hicho kizazi ndio kinatoa lawama sasa hivi pengine mwanzoni hicho kizazi wengi wao kipindi hicho kilikua bado hakijaingia oral sasa nahisi majority ya hicho kizazi sasa hivi kinasubiria placement kwaio ndo mana kinaendelea kuwa aggressive hadi kupeleka hizi habari kwa mange utadhan kila anaefanya usaili ni lazima apate kazi
mimi nimefanya saili nyingi sana hata oral tu sijawahi ingia na nimechoma nauli enzi hizo tunafanyia duce hadi leo hii PSRS wamehamia dodoma nipo tu lkn naamini ipo siku tu na mm ikifikia zamu yangu Mungu akipanga iwe itakua kama hajapanga basi tobo langu litakua pengine labda
Nakubali mkuu, na ndio maana nikasema hizi nyakati sote humu tumepitia naamini mambo mazuri yanakuja ni suala la muda tu, mm mwenyewe mpaka nilipoteaga kabisa humu sikutaka kuingia tena baada ya kufanya oral nyingi bila kupata placement lkn muda wangu ulipofika basi ndio ulikuwa wakati sahihi, nisingeweza kulazimisha huenda sikupangiwa kule.yaah afsa ni kweli japo inauma sna, na ukumbuke nawe ulitoweka ghafla baada ya kukosa placement mpaka tukaanza kukuulizia ukowapi balozi.
ukarejea ghafla na ID mpya baada ya kutusua kupitia database ama naongea uongo mkuu?
Usiamini status hakuna anayejua ukwel hapa Siri imabaki kwao uko psrs kikubwa amin katika pdfHabari zenu.
Mim ni mtafuta ajira na nimekuwa nikiufuatilia huu uzi lakini kwa ID nyingine.
Nilikuwa nasikilizia asali ya tpdc, ila pdf leo limetoka na nimekosa asali..
Nina swali
1. Kuna mtu yeyote alikuwa anasikilizia asali alafu akakosa (yan alifanya oral kbsa), na kwenye app status akaandikiwa not selected for oral baada ya pdf kutoka?
2. Niliwah kufanya interview oral OSHA mwaka 2020
Kwenye website status inasema bado selected for oral
View attachment 2564170
ila kwenye app status inasema not selected for oral (means hata kwenye database sikuwepo)
View attachment 2564172
Sasa hii ya tpdc, status kwenye app na website zote bado zinasema selected for oral even baada ya pdf leo kutoka. Hii inamaanisha nipo kwenye database? (Best loser🤔)
Website
View attachment 2564178
AppView attachment 2564181
Mwisho, hongeren wote mliopata asali.. kuna wana watatu nawajua wamepata asali leo la tpdc (wawili) na mnh (mmoja).. na hawana hata connection
Samahani mkuu we ndo wizyNakubali mkuu, na ndio maana nikasema hizi nyakati sote humu tumepitia naamini mambo mazuri yanakuja ni suala la muda tu, mm mwenyewe mpaka nilipoteaga kabisa humu sikutaka kuingia tena baada ya kufanya oral nyingi bila kupata placement lkn muda wangu ulipofika basi ndio ulikuwa wakati sahihi, nisingeweza kulazimisha huenda sikupangiwa kule.
Tuweke hoja tu za kujenga ili tuboreshe lakini tusilalamike sana mpaka tukavuka mipaka, naamini baada ya muda wote mtakuwa mmepata, ni kheri ya kwetu sisi ambao tumepata na still tumo humu, kuna wengine walilalamika na baada ya kupata walipotea na hata wengineo humu wakipata watapotea na ndio huwezi kumlazimisha mtu, tujengane, tuweke hoja za msingi na tukosoe kisomi wahusika wataona tu na kuweka sawa.
Sio mkuu, previusly i used balozi limited
Pamoja mkuu nimekupataSio mkuu, previusly i used balozi limited
Wewe jamaa uko psrs waambie wenzio tunasubiri placement ya wizara ya ardhi toka 17/5/2022Sio mkuu, previusly i used balozi limited
sahihi mkuuNakubali mkuu, na ndio maana nikasema hizi nyakati sote humu tumepitia naamini mambo mazuri yanakuja ni suala la muda tu, mm mwenyewe mpaka nilipoteaga kabisa humu sikutaka kuingia tena baada ya kufanya oral nyingi bila kupata placement lkn muda wangu ulipofika basi ndio ulikuwa wakati sahihi, nisingeweza kulazimisha huenda sikupangiwa kule.
Tuweke hoja tu za kujenga ili tuboreshe lakini tusilalamike sana mpaka tukavuka mipaka, naamini baada ya muda wote mtakuwa mmepata, ni kheri ya kwetu sisi ambao tumepata na still tumo humu, kuna wengine walilalamika na baada ya kupata walipotea na hata wengineo humu wakipata watapotea na ndio huwezi kumlazimisha mtu, tujengane, tuweke hoja za msingi na tukosoe kisomi wahusika wataona tu na kuweka sawa.
Kaangalie hapo no 16...last week aliitwa mwenyewe
Leo kaitwa kwenye kundi la wati wengiView attachment 2564039
Wanawapa kipaumbele wenye umri mkubwa kama wamelingana marks na mwenye umri mdogo...Me nafikiri utumishi waamie kwenye uptitude test. Kutoa madesa ya darasani naona si sawa sababu kuna watu wamemaliza miaka 5 nyuma tayari wanamajukumu kukumbuka waliyosoma miaka 3 ya chuo ni ngumu sana.
Au wawafikirie graduates wa nyuma ambao oral watapata pass wawape kazi, kuna watu wanapigika sana kitaaa. Unakuta aliyemaliza 2014 oral ana 60 aliyemaliza 2021 ana 80 utumishi wanampa wa 2021, hivi hawa uwezo wa kufikiri utakua sawa?? Its not fair ukikumbuka ajira zilikua za shida kipindi cha magufuli. Utumishi walifikirie hili sana.
Nilipata tetesi utumishi kuanza kuwapa kipaumbele wenye age kubwa kama ni kweli bhs watakua wamefanya jambo jema.
Wewe jamaa uko psrs waambie wenzio tunasubiri placement ya wizara ya ardhi toka 17/5/2022Sio mkuu, previusly i used balozi limited
ni zile za miezi mitatu auWewe jamaa uko psrs waambie wenzio tunasubiri placement ya wizara ya ardhi toka 17/5/2022
No. Permanent zilitangazwa mwez wa nne 2022ni zile za miezi mitatu au
Jobless unapagua sehemu ya kufanyia Kazi bhs upewe Ulinz
Kwa sasa huwezi kuongea kwani una asali na chakula mdomoni!kwakuwa jana tumeona ANO (assistant nursing officer) wengi kutoka kanzidata kidogo imeleta matumaini kuwa pia kada zingine zilizopo database watapewa placement.
tunataka kuona medical doctors, phamacist, medical laboratory na radiographer kutoka huko kanzidata
pia bila kusahau kada zingine mbalimbali nao wapate nafasi.
mkeka wa jana ulileta matumaini kidogo sana.
leo acha nisiwaponde utumishi.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
NdioooooKwamba wanarudia majina???