HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
hapana mkuu, mwanangu yupo hapo na tumetoka wote manyoni kwenye jua kali katusua pasipo kigogo yoyote. mm bado napigika na mtaa na mshukuru MUNGU mwamba hajanisahau sana
Angalau umsaidia kuleta ushahidi maana watu kwa sasa washajiwekea nadharia kuwa kuna faulu zinachezwa na PSRS. Hata kama zipo ila sio kwa kiwango tunachokifikiria.
 
Angalau umsaidia kuleta ushahidi maana watu kwa sasa washajiwekea nadharia kuwa kuna faulu zinachezwa na PSRS. Hata kama zipo ila sio kwa kiwango tunachokifikiria.
sababu kubwa mkuu watu tumedata na kauli ya mhagama aliyo tuahidi, naona kama anatupotezea kimya kimya pasipo statement yoyote. hiyo pdf 1700+ ni afadhali ingetoka tujue umo ama haumo . maana kitaa ni kikali balaa . watumishi na wawekezaji wanalia kwamba hali ni ngumu! je ni vipi kwa jobless unaweza ona Tz sio sehemu salama kwa vijana.

Nchi hii imeegemea sana mikononi mwa wanasiasa ndio wanakula mema cc tusio na mtu kwenye mfumo hata uwe mkali vipi na talented but kama hauna kimsart na network utasota sana bongo hii, but one dei yes champs
 
sababu kubwa mkuu watu tumedata na kauli ya mhagama aliyo tuahidi, naona kama anatupotezea kimya kimya pasipo statement yoyote. hiyo pdf 1700+ ni afadhali ingetoka tujue umo ama haumo . maana kitaa ni kikali balaa . watumishi na wawekezaji wanalia kwamba hali ni ngumu! je ni vipi kwa jobless unaweza ona Tz sio sehemu salama kwa vijana. nchi hii imeegemea sana mikononi mwa wanasiasa ndio wanakula mema cc tusio na mtu kwenye mfumo hata uwe mkali vipi na talented but kama hauna kimsart na network utasota sana bongo hii,but one dei yes champs
Mpaka ss atunaongelalea 1500+ kidgo mkuu
 
lengo la kuficha matokeo ya oral ni ili waweke watu wao. ila unakuta mtu kafaulu vzuri ananyimwa placement.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app

Porojo. Ushahidi huna. Nashauri uendelee kujinoa na kumuomba Mungu, zamu yako ikifika utapata mrija wa asali. Kama una ushahidi, weka jukwaani.

Jamii Forum is the home of Great Thinkers and here is where we dare to speak openly
 
Hapo utumishi wanaonewa tu, hakuna taasisi inayotoaga majibu ya oral interview, Hilo hata kwenye private sector halipo kabisa. Chamsingi ni kujiandaa vizuri sana. Hakunaga zimamoto kwenye usahili wa utumishi. Tunao ushahid wa kutosha kuhusu watu wasio na connection yeyote kulamba asali nzito kupitia utumishi.

Utumishi wanamapungufu yao kama ucheleweshaji wa sahili, lakin kwa hilo nawatetea
 
Hawa jamaa ni kama hawapo vile miaka karibia 5 sijaona watu wakiitwa, sijui watu wanaingia kimya kimya au ni niaje.. natamani ningepata majibu pia kuhusu hili shirika letu..
Kuna jamaa zangu waliajiriwa database mwaka jana Tanesco walikuwa 10, kitengo cha ICT, walipa ega matokeo yalivyotoka wakajikuta wamepangiwa Tanesco
 
Hapo utumishi wanaonewa tu, hakuna taasisi inayotoaga majibu ya oral interview, Hilo hata kwenye private sector halipo kabisa. Chamsingi ni kujiandaa vizuri sana. Hakunaga zimamoto kwenye usahili wa utumishi. Tunao ushahid wa kutosha kuhusu watu wasio na connection yeyote kulamba asali nzito kupitia utumishi. Utumishi wanamapungufu yao kama ucheleweshaji wa sahili, lakin kwa hilo nawatetea
hakuna haki huko utumishi. waachie taasisi ziendeshe usaili zenyewe. kuna kitu nilishuhudia binafsi kwenye saili moja hivi ila siwezi sema huku. pia mimi nilikuwa naamini wanatenda haki kumbe amna kitu. tokea siku hiyo nishuhudie vile nilichukia sana psrs.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom