HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vumilieni tu hata waliopata walivumilia pia sio kwamba wao hawakupitia huko kikubwa PSRS haki ipo tena ya kutosha sana, narudia tena PSRS ndio mkombozi mkubwa sana sana, cha ajabu wengi wetu tunalielewa hili kutokana na shuhuda za wenzetu au sisi wenyewe, tuvumilie mazuri yatamfikia kila mmoja aliethubutu na anaendelea kuthubu, tambua kuwa wakati wa MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI.
Soma title ya uzi mkuu
 
Soma title ya uzi mkuu
Ukute ukilamba asali utaanza kuwananga wenzio kwamba sio wavumilivu...walalamishi, hawajitumi....wana ndg zao mashirika ya serikali wa kuwafanyia connection ndo maana wanaikandia psrs[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Vumilieni tu hata waliopata walivumilia pia sio kwamba wao hawakupitia huko kikubwa PSRS haki ipo tena ya kutosha sana, narudia tena PSRS ndio mkombozi mkubwa sana sana, cha ajabu wengi wetu tunalielewa hili kutokana na shuhuda za wenzetu au sisi wenyewe, tuvumilie mazuri yatamfikia kila mmoja aliethubutu na anaendelea kuthubu, tambua kuwa wakati wa MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI.
Wadau hawana shida na haki, ni ukweli usio pingika haki ipo kwa kiasi kikubwa ndo maana shuhuda za wasio na connection wanapata hata mimi nimeona wengi watu wa karibu wanapata kazi kupitia psrs bila connection.

Tatizo lao kubwa ni KUCHELEWESHA PLACEMENTS suala la kuchukua miaka kadhaa mpaka miezi sio fea ndo wadau pamoja na mwenye mamlaka kuu wanajaribu kupaza sauti ila inaonekana psrs ni sikio la kufa.
Information ni jambo la msingi saa nyingine huenda na wao sio kosa lao kuna eneo wanapasika kulipushi ili wasibebe lawama
 
Si ndio[emoji817][emoji817][emoji1666][emoji1666]
 
HUU UZI UMEPATA WACHANGIAJI WENGI KUTOKANA NA WATU KUCHOSHWA NA KUCHELEWESHWA KWA PLACEMENT. RAIS ALISEMA UA ANASOMA JAMIIFORUMS, ALISOMA HUU UZI ULIVYOTEMBEA AKAWAJIA JUU PSRS KWA KUCHELEWESHWA PLACEMENT MPAKA KUTISHIA KUWAPUNGUZIA MAMLAKA YA KUAJIRI....

Yan hadi mkuu wa nchi aliona tatizo la psrs kuchelewesha mchakato wa ajira na kuliongelea hadharan then kunamtu anakuja kuwatetea kuhusu swala la utumishi kuchelewesha placement.
 
Msichokijua mijadala mbalimbali humu iliyofanyika itawasaidia wengi baadae.

Lakini nikumbushe tuu mwenye kuvumilia hata mwisho ndiye atakayeokoka, mawazo ya kwenda kwa Mange yanaonesha kuwa tutakuja kuwa watumishi wa hovyo tusiojua demarcation katika kazi zetu. Kwani kila tuliofanya usahili tumehakikishiwa kupata kazi?

Tuwe na kiasi Wakuu.
 
Wakati najoin huu uzi ulitumika kama hamasa, kutumiana maswali na kuelezana namna ya kujibu maswali kwenye interview. Bahati mbaya/nzuri kile kizazi cha hamasa chote Mungu amekibariki kimekula asali serikalini. Kizazi kilichobaki humu kimekuwa cha lawama na matusi. Officially na unsubscribe huu uzi kwa manufaa binafsi. Kama mnawaza kufikia hadi kwa Mange ilhali haujui kama upo au haupo hik ni hatari
Mdau Umeongea Kwa hisia Kali sana.Nilitamani Vijana wote Wasomi wangekuelewa unachokisema.Umeongea mambo mengi ya msingi sana.Ki ufupi huu ujumbe wako umebeba Mambo mengi sana ya Msingi.Mwenye Hekma ataelewa...
 
Mtakaokuja kutoa nasaha hapa mjikite kwenye hoja ya KWANINI UTUMISHI WANATUMIA MUDA MREFU KUKAMILISHA MCHAKATO WA KUITA WATU KAZINI?
TUJIKITE HAPO KWENYE SWALI KUU KATIKA UZI HUU
 
Msichokijua mijadala mbalimbali humu iliyofanyika itawasaidia wengi baadae.

Lakini nikumbushe tuu mwenye kuvumilia hata mwisho ndiye atakayeokoka, mawazo ya kwenda kwa Mange yanaonesha kuwa tutakuja kuwa watumishi wa hovyo tusiojua demarcation katika kazi zetu. Kwani kila tuliofanya usahili tumehakikishiwa kupata kazi?

Tuwe na kiasi Wakuu.
Democracy ni freedom of speech asa nakushangaa msomi wewe usiyeelewa psrs lazima wakosolewe na wasemwe ili wafanye marekebisho na kuvumilia hv mfano ukaambiwa hii njia ina Moto utapita ukiukanyaga huku ukivumilia. Tunajua ajira ni shida na nafasi chache basi kwa hizo nafasi tufanyiwe fairness na michakato uwe rafiki kwa jobless
Kwanini mnaogopa tusiende kwa mange kimambi Instagram tumuombe atupostie kuhusu PDF la database?
 
Kwanini utumishi wanatumia muda mrefu...!?

Haijalishi umepata au umekosa na haijalishi mtoto wa tajiri au masikini.
Yeah kazi ni sawa kwa wote haijalishi tajir au maskin nawashangaa waliolamba asali kila mtu mtoto wa maskin mtoto wa maskin kwani psrs iliwekwa kwa ajili ya watoto maskin hebu acheni kujisifia ujinga na akili fuli Yan mtu unafurahia kabisa mtoto wa maskin
 
Democracy ni freedom of speech asa nakushangaa msomi wewe usiyeelewa psrs lazima wakosolewe na wasemwe ili wafanye marekebisho na kuvumilia hv mfano ukaambiwa hii njia ina Moto utapita ukiukanyaga huku ukivumilia. Tunajua ajira ni shida na nafasi chache basi kwa hizo nafasi tufanyiwe fairness na michakato uwe rafiki kwa jobless
Kwanini mnaogopa tusiende kwa mange kimambi Instagram tumuombe atupostie kuhusu PDF la database?

Hii definition ya democracy uliisomea wapi Kiongozi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu ukishakuwa desparate unaweza kusema definition ya mountain ni Kilimanjaro.
The Hard way, Only The Way.

Don't force your destiny, keep calm it will find you.
 
Mdau Umeongea Kwa hisia Kali sana.Nilitamani Vijana wote Wasomi wangekuelewa unachokisema.Umeongea mambo mengi ya msingi sana.Ki ufupi huu ujumbe wako umebeba Mambo mengi sana ya Msingi.Mwenye Hekma ataelewa...
Mpaka rais kaona mchakato unacheleweshwa lakini nyie mnashupaza shingo kisa asali! Mtaichelewesha sana Tanzania kufikia malengo
 
Back
Top Bottom