TUnique
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 287
- 665
kwakuwa jana tumeona ANO (assistant nursing officer) wengi kutoka kanzidata kidogo imeleta matumaini kuwa pia kada zingine zilizopo database watapewa placement.
tunataka kuona medical doctors, phamacist, medical laboratory na radiographer kutoka huko kanzidata
pia bila kusahau kada zingine mbalimbali nao wapate nafasi.
mkeka wa jana ulileta matumaini kidogo sana.
leo acha nisiwaponde utumishi.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app