Caro93
Member
- Dec 13, 2022
- 5
- 9
Hongera sana aiseeNakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hongera sana aiseeNakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Selected for oral maanayake umepass written interview kuingia oral, na huwa inakua hivyo Mara tu baada ya matokeo ya written interview kutoka.Tulivokubaliana ni kua SELECTED FOR ORAL ni umepass bt hatujui kwa kiwango gani so ukikosa ni probably unabak kwenye database.
Pole dear kwa disappointment usikate tamaa.
Shauri yako njoo nikupeleke mambo ya database utasikia kwa wengine.Ah wapi ingekua ndo hivo bas kila mtu angetumia hyo njia akapata
Mbona lugha nyepesi sana iliyotumika, ndomana hata aliefaulu written interview na akashindwa kuhudhuria oral status bado inakuaga imebaki selected for oralSelected for oral maanayake umepass written interview kuingia oral, na huwa inakua hivyo Mara tu baada ya matokeo ya written interview kutoka.
Hahaha wabaki nayo aseeHongera sana mwamba Twinawe ukawe Mtumishi mwema. MDH wabaki na majina Yao sasa.
Hahaha mimi kiukweli sikuwahi kua na shaka na psrs najua wana mapungufu yao,wakirekebisha psrs ni sehemu salama kwa sisi tunaotoka familia duni .Hongera sana mkuu.
Ulikosa TRA tukakuambia kuwa na subira utapata sehemu nyingine muda ukiwadia, ona sasa leo hii una furaha isiyo na kifani.
Binafsi nimefurahi sana kuhusu habari hii, nikivuta picha jinsi ulivyokwama njiani mwaka jana ukashindwa kufika kwenye mkando wa written, ni historia ya kukumbuka jinsi ukivyopitia.
Namna hivi ndivyo tunavyoingia kwenye pipa la Asali makundi kwa makundi kwa nyakati tofauti tofauti.
Kila la kheri, karibu kwenye utumishi.
Nakukaribisha pia kwenye uwakala wa PSRS[emoji3][emoji3]
Baada ya oral pia ikibaki hvo hvo ni umepita swala linakuja kwa kiwango gani,so unaeza pata au kubak databaseSelected for oral maanayake umepass written interview kuingia oral, na huwa inakua hivyo Mara tu baada ya matokeo ya written interview kutoka.
Kitenge punguza makasiriko Boss,
Matatizo ya taasisi yako unayajua , na tumetoa solutions.
Yana takiwa kufanyiwa kazi haraka sana,
Ohoooo kumbe hujuiiiiiiii bas bana tuishie hapaMbona lugha nyepesi sana iliyotumika, ndomana hata aliefaulu written interview na akashindwa kuhudhuria oral status bado inakuaga imebaki selected for oral
Na hata usipofanya oral huwa status inabaki vile vileBaada ya oral pia ikibaki hvo hvo ni umepita swala linakuja kwa kiwango gani,so unaeza pata au kubak database
Unaambiwa omba sana usikute na ankali NOT SELECTED,hapo ndo utajua hujui.
Anza na ww,jipatie buyu la asali nzito ambayo haijachakachuliwa kwanzaShauri yako njoo nikupeleke mambo ya database utasikia kwa wengine.
Hatuongei lugha sawa nishaona[emoji3]Na hata usipofanya oral huwa status inabaki vile vile
UNCLE nisamee mm nimekosa sana, sirudii Tena, ila uncle 🙏 toa majibu ya oralNenda Dubai kale raha hupo hapa unapiga mayowe tuu hata hatukai kwa raha hapa kusikiliza porojo zako.
Umefeli majibu gani unayoyataka sasa zaidi ya kuwa umefeli mdogo wangu.UNCLE nisamee mm nimekosa sana, sirudii Tena, ila uncle [emoji120] toa majibu ya oral
😂😂 Okay let's seeUmefeli majibu gani unayoyataka sasa zaidi ya kuwa umefeli mdogo wangu.
Huyu mtoto amekuja na Baraka,hakika Huyu Mungu acheni aitwe Mungu,Yaani ulivyokuwa unawaza ni tofauti na yeye alivyokuwa anakuwazia.TRA hakupanga,ila Huku kwa sasa ndio kasema Ndiyo,kijana wangu aende hapa.Kikubwa Kwa Kila Mmoja wetu tuendelee kuwa na Imani tu,kila mmoja wetu Kwa wakati wake Atapata tu,ni suala la Muda.Hakika Mungu ni mwema na mke wangu anajifungua saa yeyote kutoka sasa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Members watakujia Juu leo Leo Kwa hii kauli😀....Sisi tukisema PSRS ndio kimbilio la wengi,watu wenye ndugu zao kwenye mataasisi wanatuona Sisi Wabaya.Kumbe tunajua jinsi tulivyopambana na kusaidiwa na Mungu tu, matumaini yalikuwa hayapo ila kupitia PSRS ndio angalau tumefanikiwa.Hahaha mimi kiukweli sikuwahi kua na shaka na psrs najua wana mapungufu yao,wakirekebisha psrs ni sehemu salama kwa sisi tunaotoka familia duni .
Nashukuru kwa makaribisho yako kwenye utumishi wa umma.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Niko tayari kupigwa wana madhaifu yao ila wao ni bora zaidi kuliko mchakato ukirudi taasisi husika.Members watakujia Juu leo Leo Kwa hii kauli[emoji3]....Sisi tukisema PSRS ndio kimbilio la wengi,watu wenye ndugu zao kwenye mataasisi wanatuona Sisi Wabaya.Kumbe tunajua jinsi tulivyopambana na kusaidiwa na Mungu tu, matumaini yalikuwa hayapo ila kupitia PSRS ndio angalau tumefanikiwa.
Hii Taasisi ndio kimbilio la wengi,na ni raha Sana unakuta mtu kamaliza chuo na unaona kapata Kazi kupitia PSRS,mambo ya kujuana Sasa hayapo,PSRS yoyote yule anaweza kupata kazi.
Kwahiyo hawana mapungufu?Members watakujia Juu leo Leo Kwa hii kauli[emoji3]....Sisi tukisema PSRS ndio kimbilio la wengi,watu wenye ndugu zao kwenye mataasisi wanatuona Sisi Wabaya.Kumbe tunajua jinsi tulivyopambana na kusaidiwa na Mungu tu, matumaini yalikuwa hayapo ila kupitia PSRS ndio angalau tumefanikiwa.
Hii Taasisi ndio kimbilio la wengi,na ni raha Sana unakuta mtu kamaliza chuo na unaona kapata Kazi kupitia PSRS,mambo ya kujuana Sasa hayapo,PSRS yoyote yule anaweza kupata kazi.