HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Safari ya maisha ni fumbo gumu sana. Kama ilivo kifo na riziki ya mja aijuae yule aliyetuumba. Hivyo, kama riziki ni yako utaipata tu na kama si yako hutaipata. Jitihada kidogo inatosha kupata riziki yako. Kama ilivo kifo sababu ndogo tu yatosha kutoa uhai wa mtu.

Vivo hivo tabia ya mja ni ngumu kuitabiri. Jana mlikua wote mnapambana leo katoboa anakukimbia na kukubeza.

Katika uzi huu kuna watu aina mbali mbali. Waliopata kazi serikalini, Wasio na kazi kabisa ambao wana hustle kupata kazi serikalini, & wenye kazi binafsi ila wana hustle kupata kazi serikalini. Kiufundi kuna wanaoramba asali na ambao hawarambi asali wana hustle kupata fursa nao warambe asali.

Walioramba asali ambao walikua vinara kwenye mapambano wamekua wakiwapa moral support wengine ambao hawajaramba. Huu ni utamaduni mzuri sana. Lakini walioramba asali kuna kitu kidogo wamejisahau huenda kutokana na kuramba asali bila kutegemea. Kusudi la uzi huu si kupeana moyo wala tips za namna ya kufaulu interviews za utumishi bali ilikua ni kujibu hoja ya

“Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?”​

Hivyo basi, wale walioramba asali wasisahau kua uzi huu ulitaka majibu ya swali hilo, haya mengine yalikuja ziada na yakashika hatamu.

Turudi nyuma tukienda mbele, tukumbuke kua utumishi wanatumia muda mrefu sana kufanya mchakato ambao ungeweza kuchkua muda mfupi. Kwanini nilisema walioramba asali wamejisahahu. Ni kwasababu wanasahau lengo la uzi huu na wanasahau kua utumishi kweli wanatumia muda mrefu ambao si rafiki kwa wasaka ajira.

Hivyo, pale taasisi ya serikali inapokosolewa basi iwe umeramba asali au hujaramba basi si uungwana kujibu tu kwasababu unalo jibu, bali ni vyema kujibu kukubaliana na anae kosoa kama ni kweli tatizo liekwe sawa au kukataa kama si kweli taasisi inasingiziwa. Swall la mzingi wa uzi huu, “Je, PSRS hawatumii muda mrefu?”
 
Mbali na hilo, kuna baadhi ya members wanasema bora PSRS ifutwe kazi zirudi kwenye taasisi husika. Na kuna wanao sema PSRS iendelee. This is a platform which values freedom of expression. Muhimu tukumbuke hakuna perfect system iliyo anzishwa na mwanadamu. Systems zote ulimwenguni zina loopholes. Mfano unaeza kuta kwenye democracy kuna loopholes ambazo huzikuti kwenye dictatorship, and vice versa.

Hivyo, tusiwe kaa kutaka kumvuta mtu chini ili sisi tupande. Kama utumishi wana kasoro ile ni system muhimu kutoa kasoro zake ili zirekebishwe kwa staha na si kama vita kwamba ifutwe ifutwe hapana. Malalamiko yafikishwe mahala husika ambapo ni kwa viongozi wa juu kusudi yafanyiwe kazi hata kama si kwa ajili yako bali hata kwa ajili ya vizazi vijavyo.

PSRS ichape kazi, lakini izingatie na kuchukulia criticisms hizi kama changamoto za kazi na wazifanyie kazi chap chap mambo yaende wapate ugali na wengine wapate ugali. Just a win win situation.
 
Sawa mkandaji 😁
 
Safari ya maisha ni fumbo gumu sana. Kama ilivo kifo na riziki ya mja aijuae yule aliyetuumba. Hivyo, kama riziki ni yako utaipata tu na kama si yako hutaipata. Jitihada kidogo inatosha kupata riziki yako. Kama ilivo kifo sababu ndogo tu yatosha kutoa uhai wa mtu.

Vivo hivo tabia ya mja ni ngumu kuitabiri. Jana mlikua wote mnapambana leo katoboa anakukimbia na kukubeza.

Katika uzi huu kuna watu aina mbali mbali. Waliopata kazi serikalini, Wasio na kazi kabisa ambao wana hustle kupata kazi serikalini, & wenye kazi binafsi ila wana hustle kupata kazi serikalini. Kiufundi kuna wanaoramba asali na ambao hawarambi asali wana hustle kupata fursa nao warambe asali.

Walioramba asali ambao walikua vinara kwenye mapambano wamekua wakiwapa moral support wengine ambao hawajaramba. Huu ni utamaduni mzuri sana. Lakini walioramba asali kuna kitu kidogo wamejisahau huenda kutokana na kuramba asali bila kutegemea. Kusudi la uzi huu si kupeana moyo wala tips za namna ya kufaulu interviews za utumishi bali ilikua ni kujibu hoja ya

“Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?”​

Hivyo basi, wale walioramba asali wasisahau kua uzi huu ulitaka majibu ya swali hilo, haya mengine yalikuja ziada na yakashika hatamu.

Turudi nyuma tukienda mbele, tukumbuke kua utumishi wanatumia muda mrefu sana kufanya mchakato ambao ungeweza kuchkua muda mfupi. Kwanini nilisema walioramba asali wamejisahahu. Ni kwasababu wanasahau lengo la uzi huu na wanasahau kua utumishi kweli wanatumia muda mrefu ambao si rafiki kwa wasaka ajira.

Hivyo, pale taasisi ya serikali inapokosolewa basi iwe umeramba asali au hujaramba basi si uungwana kujibu tu kwasababu unalo jibu, bali ni vyema kujibu kukubaliana na anae kosoa kama ni kweli tatizo liekwe sawa au kukataa kama si kweli taasisi inasingiziwa. Swall la mzingi wa uzi huu, “Je, PSRS hawatumii muda mrefu?”
Ndugu mkandaji, tulikubaliana tusijieleze sana
 
Nakumbuka rafiki yangu (jina limehifadhiwa) aliwahi kufanya interview taasisi nyeti ya serikali. Kwenye saili ile alikuwepo mwana familia wa kigogo nchini (jina lake na nyadhifa ya kigogo kapuni). Yule mtoto wa kibopa alikosa kazi ile.

Baada ya muda kupita kwenye pita pita zangu nililiona jina lake kwenye usahili wa taasisi nyengine ya serikali. Na uhakika kabisa ninao nilipata taarifa kua alifika mbali sana kwenye usahili uliyosimamiwa na PSRS.

Kwanini nimemzungumzia huyo kijana kipindi hiki. Ni kwasababu hizi nafasi si za tajiri wala maskini, si za mbabe wala mnyonge. Ile mentality ya utumishi ni waokozi wa wanyonge inafanya hata mtoto wa fulani akipata ionekane kama hakustahili bali alibebwa (japo sikatai, kwani nakiri hakuna perfect system iliyoundwa na mwanadamu). Lakini, akipata haiondoi uhalali wa yeye kupata na kuwasema vibaya waliofanyisha usahili. Hivyo, si uungwana kujitenga na kusema PSRS ni mkombozi wa wanyonge kiasi kwamba tuna overlook kasoro zilizopo. PSRS ni ya wote mwenye kustahiki kupata na apate, kasoro zake ziekwe wazi ili zirekebishwe ili maisha yaendelee vyema. Kwani kupata kwa mwengine hakukunyimi wewe na kukosa kwa mwengine hakukupi wewe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naijua hiyooooo. Alooo wacha nipambanie aisee maybe ntapata hizi za MDA this year then interview ya WCF maybe itakua mwakani,then ntafaulu oral WCF,ntaomba uhamisho kuhamia kwenye asali nzito zaidi.
Kila mtu anaruhusiwa kuota si eti[emoji23][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Halafu mbona WCF ni za mkataba wa mwaka mmoja.
 
Ndugu mkandaji, tulikubaliana tusijieleze sana
Ndugu yangu. Usiwe na attitude mbaya kwa watu unaowafahamu na usiowafahamu. Dini yangu inafundisha kusema ukweli au kukaa kimya.

Mimi si mkandaji kwamba nafanya kazi PSRS. Nafanya kazi sifanyi kazi anajua Mola wangu si wewe. Hivyo jitahidi uwe na staha na heshma ili uwe muungwana. Niite “The festival” ndio ID yangu usinipe majukumu mazito ya ukandaji si yangu hayo.

Nipo hapa ku speak my mind na facts ya kile nilichokua na ushahidi nacho kwa wazi kabisa. Hivyo, tuheshimiane kama wanaadamu wastaarabu. Sipo hapa kukufurahisha wala kukukaraisha. Nimeandika bila kukupinga wala kuwa pamoja na wewe kwani sikujali maono yako bali nilijali haki ninayo andika, ahsante.
 
Asante,twende kazi
 
Hongera sana kwake, na akawe mtumishi mwema!

Mimi kama wakala wa PSRS huyo tumempendelea kama ilivyo kawaida yetu kufanya faulu.

Siwezi kuwaambia tena mvumilie maana mimi ndio natambulika kama wakala siku hizi.
Kaka mwifwa Wala usijali ndugu,we potezea tu kaka....tatizo hapa watu wana jazba na kutuhum watu hasa unapojarib kucomment ukwel
 
Wakati najoin huu uzi ulitumika kama hamasa, kutumiana maswali na kuelezana namna ya kujibu maswali kwenye interview. Bahati mbaya/nzuri kile kizazi cha hamasa chote Mungu amekibariki kimekula asali serikalini. Kizazi kilichobaki humu kimekuwa cha lawama na matusi. Officially na unsubscribe huu uzi kwa manufaa binafsi. Kama mnawaza kufikia hadi kwa Mange ilhali haujui kama upo au haupo hik ni hatari
 
Asali isikutoe akili, unajua kuna watu Wana oral 3 bila placement kutoka?! Huyu apeane hamasa ya maswali na nani na ya nini? Watu kibao walioanza na huu uzi hawajalamba asali ila wamekaa kimya tu baada ya kuchoshwa na psrs. Hakuna anayefeli pepa za psrs akaja kuomba msaada huku, hizo zama zimepita. NB:MWENYE UZI ALIULIZA KWANINI UTUMISHI WANATUMIA MUDA MREFU SANA KUITA WATU KAZINI
 
Wakati najoin huu uzi ulitumika kama hamasa, kutumiana maswali na kuelezana namna ya kujibu maswali kwenye interview. Bahati mbaya/nzuri kile kizazi cha hamasa chote Mungu amekibariki kimekula asali serikalini. Kizazi kilichobaki humu kimekuwa cha lawama na matusi. Officiallya unsubscribe huu uzi kwa manufaa binafsi. Kama mnawaza kufikia hadi kwa Mange ilhali haujui kama upo au haupo hik ni hatari
Sfri njema
 
Vumilieni tu hata waliopata walivumilia pia sio kwamba wao hawakupitia huko kikubwa PSRS haki ipo tena ya kutosha sana, narudia tena PSRS ndio mkombozi mkubwa sana sana, cha ajabu wengi wetu tunalielewa hili kutokana na shuhuda za wenzetu au sisi wenyewe, tuvumilie mazuri yatamfikia kila mmoja aliethubutu na anaendelea kuthubu, tambua kuwa wakati wa MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI.
 
Unajua kinachoendelea?!!!
 
Back
Top Bottom