HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Brother bila shaka ulikua unasubiria placement 2 za taasisi moja au?
Ndio Mkuu nilikuwa nasubiria 2 hiyo moja ya ASA ndiyo wamenibless Leo. Hyo ya UDSM Wala Sina time nayo tena na nishawapanga competitors wenzangu kuwa nishajitoa Tayari, hata kama walinihitaji Ila PSRS hawawezi nipa Multiple placement kwa sasa
 
Attachments

  • Screenshot_20230210-153908_3.jpg
    Screenshot_20230210-153908_3.jpg
    36.2 KB · Views: 36
hivi nyie ambao mnatabiri humu mfano mtu anasema kesho PDF la taasisi flani linatoka na linatoka kweli
anakuwa ni mtu wa PSRS yumo humu amehide jina au kuna wenzetu mna connection na watu wa PSRS hivyo mnazipata tu info au kuna sehemu Kwenye web ya PSRS huwa wanaonesha ili na sisi tuwe tunaenda kuona?????
Hamna watu wanaangalia trend ya PDF kutoka,kutokana na mambo yalivyo/Upepo wa wiki mbili ulivyo,Mambo ya Kilimo,Umeme,Mapato lazima PDF zao zitoke haraka sana...Ndio maana umeona watu walikuwa wanatabiri.Ila Sasa baada ya Placement ya CPB kutoka au kama zitaanza za taasisi nyinginezo inaweza kuwa ngumu kutabiri....
 
hivi nyie ambao mnatabiri humu mfano mtu anasema kesho PDF la taasisi flani linatoka na linatoka kweli
anakuwa ni mtu wa PSRS yumo humu amehide jina au kuna wenzetu mna connection na watu wa PSRS hivyo mnazipata tu info au kuna sehemu Kwenye web ya PSRS huwa wanaonesha ili na sisi tuwe tunaenda kuona?????

Hapana si mtu wa Utumishi.

Ukiwa unasubiri placement pia ukawa ni mfatiliaji unajua saili muda na mpangilio wake wkt wa kufanya oral. Kwa hyo ni rahisi kutabili placement itakayofuata.

Huyo jamaa Yakunle ni hustler tupo nae kitambo humu na mfatiliaji balaa. Alikuwa hadi anaorodhesha Taasisi zilizobaki na muda waliofanya saili.
 
Na mie mwenyewe nina wasi wasi na hilo, kuna mdau mmoja alisema leo ni pdf la ASA na NiRC, imetokea vile vile huenda naye yumo ktk watu wa utumishi 😂
KILIMO,na ukiona kimuli muli kimetoka baada ya wiki Moja,siku inayofuata au siku hiyo hiyo lazima PDF liteme......
Mwezi huu wa pili,hadi kufika mwezi Wa Tatu, placements zitakuwa nyingi sana..
 
Mm kapresha bado kapo mana naskia hua zinachange af ndo kwanza sna mda mref tangu oral,na hapo had mkeka ushushwe ni miez labda 6 hivi.
kweli huwa zina change ila kuna mda ukipita kama mwezi usipo mwona """ NoT"" Una kua OK na status hazina maana tena kwa upande wako, Coz pia bado wanaokosa ni wengi kwenye izo postive status, Coz wengi huwa wanafanya vizur oral wanafika passmark.
 
Yeah hapo mwshon ndo panavuruga,kuna wenye positive status na bado wameangukia pua
 
Kuna vitu vingi sana vya kujifunza kwenye huu uzi sio mwenyeji sana ila kuna hawa watu Mwifwa na @yunklee jinsi wanavyokuwa na furaha wengine wakipata asali hakika tujifunze kufurahi wenzetu wakipata ata km wewe bado ujiongezea baraka kwa Mungu
Ahsante kwa kutambua hilo, tuendelee kuombeana, kutiana moyo na kuelekezana kwa kila jambo lililo ndani ya uwezo wetu.

Joto la kitaa sio lelemama linatufunza kuwa na nidhamu, huruma na mwenendo mzuri juu ya majambo mbalimbali.

Mapambano yaendelee, hamna kukata tamaa
 
Back
Top Bottom