Katika records toka maktaba, inaonesha wale wanaoulizia sana kuhusu maendeleo ya status punde tu toka wamalize sahili zao za oral huwa pdf likitoka mara nyingi wanalamba asali, pdf lako likitoka utakuwemo.
Pia, kuna zile ID mpya huwaga zinakuja kwa kasi sana kuhusu maendeleo ya stutas pindi pdf likikaribia kutoka ama hupata za ndani au ni wanusaji wazuri, nao pia mara nyingi hutokea katika pdf. Kwahiyo, ikifika tu time ukaanza kuona kuna ID zinakuja kasi sana humu kuhusu status jua muda umefika, pdf liko mlangoni.