HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wadau nimekosa NIRC japo status mabadiliko yalitokea yale yale
From selected for Oral then Selected for Practical then selected for null then ikamalizia selected for oral ikarudi mpk now hyo n APP

Kwenye WEB mzigo umebaki Selected for oral

Ngoja ninywe maji kidogo nipumzike nijipange coz ni Received ya WCF kama ratiba zikikaa vzr nikatest ubongo tenaaaa kwenye written
Pole sana mkuu mapambano yaendelee, nafasi yako ipo ila muda bado haujafika, kuwa na subira, tuombeane
 
Hongera sna mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa nafasi hyo adhimu ulyoipata Kwani haikuwa kitu rahisi. Pia jipongeze mkuu Kwa kile kinachokupa Raha ili iwe kumbukumbu nzuri ktk maisha yako.

Mwisho, Nakutakia ukawe mtumishi mwenye kufata màadili ya kazi yako.
Nashukuru sana ndugu mosses15 kwa maneno Yako yakujenga na kutia moyo.Nitayaishi daima
 
Hamna watu wanaangalia trend ya PDF kutoka,kutokana na mambo yalivyo/Upepo wa wiki mbili ulivyo,Mambo ya Kilimo,Umeme,Mapato lazima PDF zao zitoke haraka sana...Ndio maana umeona watu walikuwa wanatabiri.Ila Sasa baada ya Placement ya CPB kutoka au kama zitaanza za taasisi nyinginezo inaweza kuwa ngumu kutabiri....
Yap hapo CPB inaeza kutolewa fasta maana kwanza ni ya Mkataba haiingii Hazina.
 
2)Yeah hapo mwshon ndo panavuruga,kuna wenye positive status na bado wameangukia pua
Ww ndo
Yeah hapo mwshon ndo panavuruga,kuna wenye positive status na bado wameangukia pua
Ukiwa na wanafunzi 10 nafasi ni mbili (2) halafu wote wamefaulu remark ukawajazia ""PASS"" coz wote wamefaulu baada ya hapo izo nafasi mbili ukawapa waliofaulu kwa wastani mkubwa, halafu hawa 8 waliokosa nafasi wanakuja kukulahumu kwanini sisi hatujapata nafasi wakati tumejaziwa pia ""PASS"" ndo kinachotokea, waliojaziwa fail ni sawa na """NOT"". I hope umenipata kwanin wameangukia pua.
 
Back
Top Bottom